official therealrigoh page
Economic's & civil Eng | football legend | young Africa ๐น๐ฟ Barc| Liverpool | LAMINE YAMAL & NEYMAR | Dm for promo๐ช๐ญ
(Moshi)Chaga
Malaya wanapenda bhn๐๐ซตna Wana wivu vibaya mnoo nauhushuda๐
Nilishawah kupendwa na malaya mmoja msafi oyaa๐Malaya alikuwa anafanya kazi counter kwenye baa flani ipo njia ya nne goba kama unaelekea mbezi kimara
Bhn we Kuna day Malaya kaja gheto mchana hajanipanga kama anakuja๐
Leo nimeona garii Kali sana qmmk๐ฅ๐ nikatoa cm mfukoni nipige picha sijui jamaa kanionaje amepungiza mwendo ๐๐
Amenikaribia akashusha kioo ananiambia mdogo angu pambana sana mambo ya kawaida tu haya afu nikicheki age yake so mbalii sana namimi ๐ watu mnawezaje๐ค๐www

Alafu sisi wa Africa tunadhani wazungu ni wachafu kwakuwa wanatumia toilet paper ila ukiangalia vizuri wapo sahihi ๐
Ivi mtu unashikaje kinyesi kwa mikono kwa kigezo Cha kusema unatumia maji? ๐ค๐
Alafu hawa matajiri wanaotoaga sana misaada hasa kwa hawa watu wenye uhitaji,ni vile hatujui ila wale unakuta wanayakwao magumu sana na yakutisha ni vile hawezi kukufungulia ukayaona ๐๐
Ile misaada wanaitoa kujisafishia ๐คโ ๏ธ