@EduTalkTz Nadhani kaongea baada ya ajali ya juzi usiku njia ya segera chalinze, prado ilikuwa na watu wanne wa familia moja, wakafariki wote, wapumzike kwa Amani😭🤲
@Adventure_36 Hiyo inawachelewesha wazee wa mlima Tenende na Tazama pipe line wasiweze kudandia na kufanya yao kwa haraka, maana wale jamaa wako kama panya😊ukishangaa wamepita na soksi ya mguu mmoja🤣
@Lizzie36021 inategemea na ukubwa wa korodani🤕Maana ni chanzo kikuu cha uchafuzi wa vyupi (maana chupi ni moja) zikiwa kubwa kuna ulazima ubadili kila siku kutokana na kuwahi kutoa harufu🤥ila kimo cha nyanya chungu unatimba nayo hata wiki fresh tu😊🏃♂️
@Adventure_36 Yanga kavuna point nne tu Caf ndio maana katoka 20+ mpaka nafasi ya 16, Makolo mmevuna point 3 ndio maana mmetoka nafasi ya 9 mpaka 7, safari ni hatua, hata nyie mlianza mbali, ila sasa hivi mnachechemea maana...