Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu amesema warsha hiyo ni kujadiliana na kuja na mwarobaini ya changamoto zao pamoja na kuzitatua kuelekea dira ya 2050.
CHAMA cha Wataalamu wa Milki Tanzania (AREPTA), kimeiomba serikali kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa sheria ya udhibiti wa sekta ya milki kuu ili kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na madalali wasiokuwa wataalamu.
Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2026 uliobeba
kaulimbiu ;Crowd Funding for Real Estate Investment: A Strategic Approach to Achieving Tanzania Vision 2050' leo jijini Dodoma , Rais wa AREPTA, Boniphace Yumba, amesema sekta ya milki imeendelea kukumbwa na migogoro
mwanzo unaweza kuongeza zaidi ya dola trilioni 3.8 katika uchumi wa dunia ifikapo mwaka 2035 kupitia nguvu kazi yenye tija.
Aidha, amewapongeza akina mama kwa mchango wao mkubwa katika malezi ya familia na maendeleo ya jamii licha ya changamoto mbalimbali wanazokutan
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter), mwanasiasa na msomi wa masuala ya maendeleo, Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila, ametoa ujumbe maalum wa maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani akisisitiza umuhimua
Amesema malezi na uwekezaji sahihi katika kipindi hicho vinaweza kusaidia kupunguza changamoto ya udumavu wa akili kwa watoto, ambayo bado ni tatizo kubwa barani Afrika. Akinukuu tafiti za World Bank, Kafulila amesema uwekezaji sahihi kwa watoto wa Afrika katika siku 1,000 za
Mbunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Mheshimiwa Mgore Miraji Kigera, ameadhimisha sikukuu ya Eid Al Fitri kwa kugusa maisha ya watoto yatima zaidi ya 120 kwa kuwakaribisha katika hafla ya chai ya asubuhi mara baada ya Swala ya Eid.
Mchungaji wa Usharika wa Kijitonyama Dk. Eliano Kimaro amesema serikali yoyote duniani haiwezi kuajira wahitimu wote katika nchi husika lazima kuwe na miradi ya familia ambayo itaweza kujiajiri na kuajiri.
Mbunge wa Musoma mjini Mh. Mgore Miraji amesema katika siku 100 za Rais Dkt. Samia Musoma imepokea wauguzi wa afya zaidi ya 70, walimu 34 wa sekondari pamoja katika sekta zingine mbalimbali ikiwa baraka za Rais Dkt. Samia.
Katika siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, sekta ya ujenzi imeyapatia kampuni nne za makandarasi wanawake wazawa mradi maalum wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya LuwandaโIgiwili yenye urefu wa kilometa 20 mkoani Songwe.
Utekelezaji wa mradi huo umefikia asilimia 10.4 ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais Samia, huku makandarasi hao wanawake tayari wakilipwa malipo ya awali yenye jumla ya shilingi bilioni 6.818, hatua inayodhihirisha dhamira ya serikali ya kuwawezesha wazawa,