๐จ๏ธSoma habari mpya kila siku kuhusu โ๏ธTeknolojia kupitia kiganjani mwako kwa lugha ya kiswahili ๐น๐ฟ
si Unajua Teknolojia ni Yetu sote ๐
Share intaneti na rafiki yako kwa Bluetooth
Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunaotumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share intaneti kwa kutumia Bluetooth.
Uzi ni wako shusha handle chini ๐
๐ Url Check
Ikiwa una wasiwasi juu ya link unazotumiwa kwenye Simu Yako basi tumia hii app inaitwa Urlcheck kukusaidia kwenye kuangalia kama link uliyotumia ni nzuri kwako au lah ili kuwa salama zaidi.
๐๐ฝ๐ฝ๐ ๐ฒ ๐๐ผ๐ฟ๐ฎ ๐ ๐๐ฒ๐๐ถ ๐ก๐ผ๐๐ฒ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐ป๐ถ ๐ป๐๐๐ฟ๐ถ ๐ฏ๐ฎ๐น๐ฎ๐ฎ ๐จ๐บ๐ฒ๐๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐ต๐ถ ๐ธ๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ
Leo nakuletea apps Sita nzuri balaa unapaswa kutumia kwenye Simu Yako kama unatumia Android au iphone โ๏ธ.
Repost
Like
Follow ๐น๐ฟ
#bongotech255
๐ Pinterest
Hii ni app nzuri ikiwa unatafuta wallpaper Kwa ajili ya Simu, Kompyuta basi hakikisha unatumia hii app inaitwa Pinterest inakupa picha nzuri zenye ubora bure bila kulipia chochote kile Kazi Yako ni kudownload Tu.
๐ ๐ณ๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐ ๐ท๐ฎ๐บ๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฒ๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ผ๐ธ๐ฎ ๐จ๐ถ๐ป๐ด๐ฒ๐ฟ๐ฒ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐น๐ถ๐ผ๐ป๐ฎ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ
Kuna stori ina trend sana mtandaoni kuhusu kupotea kwa Gari aina ya Range Rover toka uingereza na kuonekana Tanzania!.
Threads ni yako ๐ก๐ก
๐ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐ฎ๐น๐ถ๐๐ผ๐ณ๐ถ๐ฐ๐ต๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ถ๐บ๐ ๐บ๐ฝ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ป๐ผ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ
Usichokijua kuhusu TECNO SPARK 40 na mambo yaliyofichwa ndani yake !!!
Kwa hii simu Tecno wametisha sana โ๏ธ
Threads ni yako
๐ Water resistant
haijalishi unapiga simu kwenye Mvua unachati au kupiga picha mahali Kuna vumbi Kali, Mvua kubwa we enjoy TU hii simu haingizi maji kabisa ina IP 64 rating ambayo inakusaidia kuzuia vumbi na maji kuingia kwenye mfumo wa simu yako.
@Bongotech255