@fumbokhanJr Kuna haja ya kuanzisha chama cha Washabiki na wapenzi wa Soka , Sababu naona Mamlaka sa Mpira hazitendi haki na hazina Jicho la mbali, huwezi kufanya Maamuzi ya Ghalfa hivyo wakati kuna kanuni na Sheria, Mechi ingechezwa lkn Mengine yangefuata, Point za Uwanjani ni Muhimu kulik