Watanzania ni lazma tujivunie huyu Mzee. Mzee pekee aliebaki duniani ambae aliwahi kuwa kiongozi mkubwa na anazeeeka akiwa upande wa haki na akipigania haki bila woga wowote. Mzee ambae hana tamaa ya pesa wala madaraka yeye anachotaka ni kuona haki.
Samia muuaji akajarabu kufanya propaganda ya kupiga nae picha juzi ili kutafuta uhalali ila Mzee akatoka Ikulu akampiga kwenye mshono.
Watanzania kila siku tumuombee huyu Mzee Mungu aendelee kumuweka hai. A true Tanzanian hero.
Kina June Warioba, you must be proud to have such a father. Tunawaonea wivu kwa kweli, wenzetu mlijua kupewa baba aisee.
Kuna kina Kikwete wanazeeka na ushetani wao. Na uzee ule bado tamaa ya pesa na madaraka kwa familia yake ndio kipaumbele chake.