Tuliiba Simiti 60 na Foreman Mkamba tukauza mia Tano tano...Tukagawana Equally..The Following day Mutiso akapea Manager his 15k akamwambia niliuza simiti najaribu kum bribe asiseme...Manager akaniita akaniambia "Ukipata deal kama hii tunapiga na Wewe Wachana na huyo Mshenzi"๐ญ๐