Utawala umefitinika!!! Mtateka wangapi? Mtaweka wangapi ndani?
Then mnategemea yataisha tu, acheni kufanya mambo kwa makusudi, kuumiza watu wasio na hatia.
Acheni kuchochea hatari kwenye Nchi hii.
Hivi mnaona au hamuoni!!! Haiwezekani kuongoza nchi kwa kujaza watu hofu, watu wanaongozwa kwa ushawishi sio hofu.
Said Issa madai yenu mlisema mnataka mgawanyo wa mali..
Mara mnataka chama kifungiwe shughuli zake, ambalo halina uhusiano wowote na mgawanyo wa mali..
Sasa mnataka viongozi wafungwe sio?
Mwisho mtaomba chadema ifutwe na msajili..
Anaewatumia hajui anachokifanya!!!
Kufuta chadema Sio kufuta kiu ya mabadiliko, mtashangaa sana.
@ahmed__ally Kwanini asiendeleze vile viwanja tulivonavo ili vitumike katika ligi yetu kuliko kuwaza kujenga uwanja mwingine sibora aendeleze vilivyopo ili kuvipa hadhi. Au ndio chai imeanza
@HecheJohn Hiii nchi wameandika Sheria kwa kingereza alafu wananchi walio wengi wanasoma kayumba ambako kingereza hakuna ndio maana wanarithishana uongozi maana wameona sisi wananchi wajinga.kwanini hizo Sheria zisiwe kwa kiswahili
Good afternoon from baobab video zaidi ya 27 video bure wewe lipia bando la 3000 au unataka na bando liwe bure?? Haya tuma GB 2
Wapenda dhambi wezangu kazi yenu nyie ni kunifollow na kushika hela yako mkononi