Website za kununua namba za Marekani
- Smspool
- Hushed
- Phone verified
- Numero App
- Fanytel
NB: Kuwa na namba ya US haikupi guarantee ya kupata kazi ila itakusaidia kubypass website ambazo hazina option ya namba za Tanzania
TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...