MBUNGI INACHEZWA LEO,KESHO YULE MUABUDU SHETANI ANASHINDA WORLD CUP YA PILI HILO LIPO WAZI UKWELI NI KWAMBA ASHINDE WORLD CUP 9 MBUZI NI CR7 TU UKIFWATILIA GEOPOLITICS UTANIELEWE MIMI NIA YANGU LEO ASHINDE NA HII WORLD CUP ILI YEYE NA NETANYAHU WAKAANGUSHANE VZR
Sasa hivi Hayo maulid Ili yajaze mpaka ma coaster yakodishwe yajaze watu,,,Watu wameanza kuikubali Sunna na Inshaallah waislamu wote tutakuwa kwenye njia ya sawa
Mimi nataka waonyeshe walau vyumba viwili tu wamejenga kwamba hivi vyumba viwili ni hospital kwa ajili ya waislamu..waraka au Tamko tu la waislamu wenzetu waliopo jela wengi wao wakiwa hawana hatia walau hata kemeo tu ❌❌ Huwezi kuona wala kuskia
Lakini utakuja kuskia mwezi ni wiki ijayo usifwate mwezi wa Suudia wakati ukiangalia saa za hapa Tz na Suudia ni sawa sawa,,Au utaskia maulid ya mwaka huu balaa Ngamia 90 zimechinjwa..Palipo fika waislam watawachoka na hata mambo yenu bid3’aa yanahemea mipira
MAMBO NI MAWILI..1.WACHEZAJI WANAO ZALIWA ULAYA WANAKUJACHEZA AFRICA KWA MAELEKEZO YA WAZUNGU 2.IPO HUJMA AMBAYO MASHABIKI HATUIJUI TUNAFANYIWA WAAFRIKA.TUSIINUKE KISOKA..(ADINGRA KATULIZA MPIRA SEHEMU YAKUPRESS KWA NYAVU) UBAYA ZAID NI TIMU ZOTE ALF MIAKA YOTE ❌❌
Unaweza teleza ukazini, unaweza teleza ukanywa Pombe vyote hivi ni haram lakini kama ukiziacha swala 5 moja kwa moja unatoka kwenye uislamu..MWENYEZI MUNGU ATUONGOZE TUWE WENYE KUKUMBUKA MAAGIZO YAKE NA KUYAACHA MAKATAZO YAKE #ISLAM#ALHAMDULILLAH
Watu wanakesha miskitini kutaka radhi za Allah awasamehe yale waliyomkosea na pengine kwa vismamo hivi iwe sababu ya kesho kuwa sehem ya waja wake wema wewe unazurura tu na kufanya upumbavu ule ule,,Wewe hautakiwi kupewa mawaidha inatakiwa tukushike tukitie sana Fimbo 😡😡,,,
Upo hapo Ulipo Sababu Mungu ameona ndipo Unapostahili,,,Kamwe usiitamani Neema au nafasi ya Mwenzio Unaweza kupewa wewe na kila ulichokitamani kikageuka ni mtihani…,
INAWEZA KUKUGHARIBU KARIBU 300K-400K KWA SIKU 1 WAKIKUWEKEA OXYGEN SUPPORT HOSPITALINI…(inategemea na hospitali inaweza kuzidi),, JIFKIRIE TOKA TUMBONI KWA MAMA YAKO ALLAH ANAKUPA OXYGEN YA BURE KABISA…JIPIMIE MWENYEWE MATENDO YAKO YANAFANANA NA NEEMA ANAYOKUPA..???
NA HUKO NDUGU ZAKO WATAKAPO KUPELEKA NDIPO YATAKUWA MAKAZI YAKO YA MILELE HAUWEZI KURUDI,NA UTAKUTANA NA ALLAH AMBAE ATAKUHUMU KWA PUMZI YAKE YA BURE UNAYOITUMIA SASA NI NINI YEYE ULIMTENDEA. NI SIRI YAKO
USIENDE KWA MGANGA YAKH JIULIZE WEWE MWENYEWE NAFSI YAKO IPO CONNECTED NA ALLAH KWA ASILIMIA NGAP?? UNAWASILIANA NA MUUMBA WAKO KWA UKUBWA GANI..??WELL..HATA USIPOFANYA HIVYO NI HONGERA ZAKO MALAIKA WANAKUPA,,,LAKINI TAMBUA SIKU YAKO ITAFIKA,,
MAARUFU,,PESA UNAYO YAKUTOSHA,,ANABADILISHA TU WANAWAKE,,KILA ANAPOENDA ANAJULIKANA AND YET UNASIKIA HASKII RAHA MPAKA AVUTE,,AU ALEWE,NDIO ALALE Quran inasema hivi 👉🏻 “YOYOTE ATAKAE ACHA UKUMBUSHO WANGU NA KWA HAKIKA ATAKUWA NA MISERABLE LIFE”
KUISHINDA NAFSI KWENYE UMRI WA UJANA NI KITU KIGUMU KWA MWANADAM WA KAWAIDA,,,LAKINI KILA DHAMBI UNAYOIFANYA UTAKUJA KUIRUDIA TENA NA TENA,,NAOMBA UTUMIE MUDA HUU KUJIULIZA UTAKUWA HIVYO MPAKA LINI.? IKIWA SOTE TUNAJUA TUTAKUFA NA KURUDI KWA ALIE TUUMBA,,ASET YA MATENDO YE2 IPOJE
FANYA IBADA KWA AJILI YAKO MWENYEWE,,NDIO JAMBO AMBALO UTAONDOKA NALO NA NDIO UTAKALO LIACHA DUNIANI,,,KUFANYA AU KUTOKUFANYA HAKUMPUNGUZII ALLAH KITU CHOCHOTE
Sioni kama kuna kitu kipya kwenye hizi zama tunazoishi,,kama bado Dunia inakupelesha na unahangaika nayo,,unatakiwa ujue,,,its coming (QIYYAMMA) THE END IS NEAR….ITTAQQILILLAH
ALLAH (S.W) anatuomba tumkumbuke na kumshukuru na kutusihi tusimkufuru,🥲 imagine muda wako ukifika wa kuondoka duniani ukiwa Kati ya wale MINAL KHASIRIYN,, nini utaenda ongea na MOLA wako..? Tuombe MUNGU tukiondoka hapa duniani tuwe ni wenye kupendeza kwake