@KissangaJames @Seneta_Kibanga Cha pili unajua maan ya sub Saharan countries cha tatu unajua maana ya global economy cha nne unajua maana ya mutual benefit
@mijadala NI SAHII KAMA TUKIWA NA MIPANGO YENYE UWEZO WAKUTEKELEZEKA KWA MUDA MAALUMU PIA SIO SAHII IKIWA HATUNA MIPANGO NA NYENZO MUHIMU YA KUTEKELEZA YALE TUNAYOYAPANGA
@voiceofbongo Kama katoa lugha za matusi hupaswi kutuambia ss nenda kwenye vyombo vya sheria karipoti si vyombo vyenu viko chini yenu sisi tunaitaji kuyasikia maongezi yenye logic na sio mabishano, msitake kufanya chuki na personal interest zenu kuwa ndio matatizo yawaTanzania