๐ฅ Mechi Ya Ngumi Iliyobaki Kwenye Kichwa Chako Hadi Leo? ๐ฅ
Kuna mapambano ya ngumi ambayo yamebaki kwenye kumbukumbuโile kelele ya umati, ile risasi ya kombora, na ile knockout ya kusisimua! Ni mechi gani ilikuvutia zaidi?
@KhalifaMwaipopo@BoxingGbc Wewe ni bondia? Jina lako nani? Ulikamilisha vigezo vyote? Uliwasilisha nyaraka gani kama kitambulisho chako? Ulicheza pambano lipi? mpinzani wako alikuwa nani?
@KhalifaMwaipopo@BoxingGbc Ahsante. ili pambano kuwekwa kwenye kanzidata ni lazima mabondia wote wawasilishe nakala za vitambulisho vyao (kadi ya mpiga kura, kitambulisho cha uraia, hati ya kusafiria, leseni ya bondia). Vikikosekana au anapowasilisha bondia mmoja, hilo pambano haliingizwi kwenye kanzidata.