Kama taifa tulikosea wapi mpaka tukafikia kuwa na rais kama Samia . Sijui kama anajua nin anafanya au anatakiwa kufanya ili kuliokoa hili taifa kwake yeye akishafurahi Rostam na mafisadi wenzie anaona nchi iko sawa.
Mlitaka aseme nini? Pesa zote hizo kaiba mwanae Abdul. Mlitaka aseme watajwe alafu wanyongwe wakati anajua muhusika mkuu ni mwanae kipenzi?
Hakuna fisadi mkubwa aliewahi kuiba Tanzania zaidi ya Abdul Hafidh.
Na pesa zote hizi zipo Dubai. Investment yooote ya pesa wanazoiba inafanyika Dubai. Bora hata wangekuwa wakiiba wanafungua maviwanda na kuajiri Watanzania ila hapana wakiiba kama watafanya investment ndani ya Tz basi ni wanajenga ma apartments na majengo ya kukodisha Watanzania na sio kuwasaidia kupata ajira na investment kubwa zaidi ndio wanafanya Dubai kwenye real estate.
Huu ufisadi wa kiwango hiki ndio sababu wanaua raia wakiandamana, Oktoba 29 waliua raia ili kulinda huu ufisadi wao na hii pia ndio sababu kuu wanapambana bunge liwe halina upinzani wowote. Tusitegemee kupata haki kwenye hii nchi kwa ufisadi huu, mafisadi watapambana juu chini siasa za Tanzania zibaki hivi hivi ili waendelee kuiba huku Wananchi wakiendelea kuteseka. Kwa wizi na ujambazi wa kiwango hiki tusisubiri CCM watoe haki kwa hiari ni lazma wananchi tukaichukue haki yetu.
Imagine watu wenye ujuzi wa hali ya juu na ubunifu tupo bize kukimbizana na wahalifu form 4 failures wauza unga ambao wameamua watuwinde na watuue kwa kuwakosoa tu! Badala tungekuwa bize kujenga jamii na Taifa tupo tunapambana na wapumbavu!
Acha nchi iendelee kuitwa โsh*thole countryโ
#TutaelewanaTu
Leo sikujua kwa nini source wangu wa JW alitaka niulizie sare za kikosi ambacho nilikuja kujua ni ya PSU! Sikuwahi kujua kuwa TISS sasa wanajifanya ni jeshi wakati sheria haiwapi hiyo mamlaka!
Nimekuja kujifunza jambo moja kubwa! Kumbe kuna vita kubwa sana ๐
Hawa PSU wanajiona kama jeshi wakati hawana mamlaka kisheria!
Mfano silaha zile zilizoingizwa mkasikia Mombo alihusika na Abdul - chanzo kiko hapa! Ina maana Okt 29 walitoka na sare au bila sare na walibeba silaha na walikuwa wanaweza kufanya lolote! Lakini hii si jeshi kisheria so ni MILITIA! Na Bi Msumi kawajaza ndugu zake na wazenji maana hakuna uwazi kabisa!
Mi ndo maana nikiona chawa wako bize wanataka kuni discredit naangalia nyuma kuna nini!
Watekaji waliowachukua na kuwatesa akina Boniface na Agather pia walisema wanatokea Ikulu! Mafwele ni sura rasmi ila kuna huu upande usioonekana
Sasa acha niendelee kufuatilia ila #TutaelewanaTu
Na ninyi wakufuata mkumbo muwe mnatuliza ubongo - mi sijawahi kukurupuka mtakuja kunielewa mmechelewa sana ๐๐ฝ
โผ๏ธ๐จ NAOMBA USHIRIKIANO WENUโผ๏ธ
Hebu tukumbushane viongozi wa dini na makanisa /misikiti waliopatwa na misukosuko na awamu hii ya @SuluhuSamia tokea 2021
๐๐ฝGwajima na kanisa lake la Ufufuo na Uzima walifungiwa na waumini kuumizwa
๐๐ฝ Kanisa Katoliki - watawa na mapadri akiwemo Fr Kitima - walitekwa na kuumizwa (hapa orodha nzima inahitajika tuweke record sawa)
๐๐ฝ Mchungaji Steven Jacob wa Kanisa la Huduma ya Kristo - Arusha
๐๐ฝ Mchungaji Mwakipesile alifungiwa kanisa na kufunguliwa kesi Mbeya na binti yake Sifa Bujune alishtakiwa kwa wimbo na baadaye aliachiwa ila akafariki
๐๐ฝ Mchungaji Yanick Mbombo Arusha
๐๐ฝ Mchungaji / mwimbaji wa Injili Elisha Juma huko Geita - hadi leo hajapatikana
๐๐ฝ Sheikh Athman Diblo alitekwa huko Kiteto, Manyara mwaka 2022
๐๐ฝ Sheikh Jabir Haidar alitekwa na kuuwawa Zanzibar
Naomba mnisaidie kuongeza
Kuna orodha inaandaliwa kwa matumizi ya kimataifa
Natanguliza shukrani
๏ฟผ#TutaelewanaTu
#TanzaniaMassacre
Huko @UmojaWaMataifa kama ni moto wamewashiwa ndo maana Possi analialia tu
Umoja wa Ulaya - EU wamelaani pia mauaji ya Oktoba, utekaji na uwindaji wa wapinzani na wanaharakati! Mahodari wanazidi kuvuma ๐
โThe EU is concerned with the widespread human right violations in Tanzania in the context of the general elections, including allegations of excessive use of force, of extrajudicial killings, enforced disappearances, and mass arbitrary detentions targeting protesters, opposition figures, and civil society across the country..โ
#SamiaMustGo
https://t.co/hDkqWs25Cs
"Tanzania saw shocking violence following its elections in October, including evidence of extra-judicial killings and concealment of dead bodies. There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected."
https://t.co/Rjk9SOsl0a
โThere must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.โ - UK's Human Rights Ambassador, @ESandersFCDO
https://t.co/B3MY6toKOB
Putin : 73 years old
Trump : 79 years old
Netanyahu : 76 years old
Narendra Modi : 75 years old
Xi Jinping : 72 years old
Khamenei : 86 years old
All of them have lived their lives and witnessed their peaks already. The next generation wants peace and growth, not World War 3
The world needs young leaders now
@itsdeaann That's true, the market responded negatively even before the attacks.
It's surprising how President Trump always starts wars after Friday, just when the market is closed, haha.