Wanyakyusa always wanakuja na idea za kishamba hamna ishu kama hii na haiwezi ku work kuanzia experience na wachezaji watakao kutana nao sio hao ambao wanacheza nao leo mzee heshimu Afcon bhana..
Me nashauri, hii timu ndio itumike kwenye Afcon Mwakani, waongezeke wachezaji wenye experience kama wanne tu kwaajili yakuwasaidia na kuongeza nguvu
Michuano hiyo iwe chanzo cha kuwapa uzoefu na timu ya taifa ya muda mrefu iundwe kupitia hawa madogo janja