Kuna Dem nilikuwa naongea na yeye on call then in the midst of the conversation she said "nikupe uongee na babangu" then I said "mpee kwani Iko nini" thinking she was joking. Wacha nisikie Hello Young Man... π. Manze nilikata simu then akaambia msichana wake siku atampata na Mimi atatukatakata into small pieces juu mimi ni criminal. Na hivyo ndio niliachwa ππ