Malengo Yangu Yalivyokua kabla ya Miaka 30
1. Nyumba Kali Mbweni ya Million 800
2.Mke Mkali na Watoto watatu..
3.Biashara Kubwa Walau 80M
4.Gari Kali Kama Sita za kutembelea
5.Mashamba Makubwa ya mpunga huko Kilombero kama Ekari 1000
6.Trip za Dubai kila Wikiendi
Ila Sasa.π€£
Form 4 una A za kutosha
Form 6 una Div 1 kali (point 3-7)
Chuo una first class, distinction
Mpk unakufa, sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha passo, camry, raum, rav 4 na IST.
Hizi chuma zinasukumwa na wahuni tu, wanaojua kumanipulate mfumo.