Anza siku yako kwa njia ya kipekee kwa kusifu Bwana hapa katika ibada ya #Pambazuka
Ni #tbt edition na Queen @Sally_Mbeyu
Unashukuru Mungu kwa lipi asubuhi ya leo?
#RadioNumberOne
Kwa sababu hiyo nawaambieni, mambo yote mtakayoyaomba mkisali, aminini ya kuwa mmeyapokea, nanyi mtakuwa nayo.-Ni saa ya maombi.
#SafariNaAmaniAila#RadioZaidiYaRadio
Amani Aila
Producer: @jimmy_mamboh
Good morning, Fam! We've made it to another beautiful day, and we're truly blessed! Welcome to Breakfast 47 with The Bigboyz of Radio, #MwashumbeNaMwakideu. Where are you tuning in from today? #HapaNdipo