You cannot sleep 4 hours a day while running a business.
The world doesn't care if you are tired.
Money is moving at a faster rate than ever so you need your sleep.
Get up early, hit the gym, get to work, go to bed on time and most of all, pray to God.
Goog morning🥱🥱
Ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa, utajiri haitokani na kuwa na PESA!
Bali, kutokana na michakato na mifum (Processes & Systems) ya kuzalisha pesa.
Yaani, pesa ni kama side effect tu.
Ndiyo maana, matajiri wanaojua hii siri ni rahisi kutengeneza tena pesa baada ya kupotez
Kuna wale watu ambao ukipost vitu wanavyokubaliana navyo wanaruka post zako,
Ukipost vitu hawakubaliani navyo wanakuwa very aggressive kuku-attack,
Hawa watu hawakuchukii hata kidogo, shida yao ni kwamba wana matatizo ya akili
Kijana wa kiume miaka 30,
unatakiwa uwe unamiliki
1. Passport
2. Leseni
3. NIDA
4. Ujue kuendesha gari/pikpik/bajaji
5. Uwe na active bank account
6. Uwe na akiba angalau million 2
7. Uwe una miliki aridhi
8. Uwe na mahusiano serious
9. Uwe na chanzo cha kipato imara
Una nini?
Supermarket na malls, Kuna mbinu wanatumia kukulazimisha kutumia pesa zako bila kutarajia
Inaitwa Marketing trick
Mfano
1. Discounts (asilimia 50%, special offer)
2. Buy 1 get 1 free
Hapa ni mtego
Ni psychology ya consumerism unashawishiwa kufanya decision ya haraka
UKIJIAJIRI Kama kipato chako kiko chini ya 500k kwa mwezi,
usiwekeze kwenye vitu, wekeza kwako na mchongo unakupa hiyo hela BRO.
1M ya kununua assets vs 1M ya kujifunza
kujiposition, kuuza na kujibrand.
1M ya kujifunza
kujiposition, kuuza na kujibrand itaisha ila ITAKUSAIDIA.
Ukitaka pesa ya kweli, jiandae kubadilika zaidi ya mara moja.
Kile unachokipenda leo, kinaweza kisikupe chakula kesho.
•Jifunze kuswitch.
•Jifunze kusurvive.
•Jifunze ku-evolve.
Kamwe usiache kujifunza.👊
#hatupokukumotivate
Tupo Katika Karne Ambayo Unahitaji Vitu 3 Tu Ili Kutengeneza Pesa…
1)UJUZI—(Specifically Selling skill)
2)MEDIUM—(a.k. Platform)
3)PRODUCT/SERVICE
…sometimes Unaweza Kutumia Ujuzi & Platform Tu Ukatengeneza Kipato Mtandaoni!
PS: INTERNET ni Zawadi
Mtoto wa maskini ana option mbili: 'kulalamika au kupambana.'
Na hakuna anayemhurumia atakaposhindwa.
Vita ya mtaa haina fair rules, lakini unaweza ku-exit.
Ili u-exit ni kuamka mapema kuliko wengine (kuona fursa kabla ya wengine ni kuamka mapema pia)
Kujitafuta ni kama kuchimba kisima. Unachimba halafu unachimba tena.
Wengine wanacheka, wengine wanakuacha. Lakini maji yakitoka, wote wanarudi.
Usiogope kuonekana kama umechanganyikiwa.
Ni kawaida ukianza kitu mpya.
Ukianza kusaka ndoto yako, wengi wataku-question.✊️
Umaskini si tu kutokuwa na hela.
>Ni kukosa tumaini.
>Ni kuamka ukiwa huna pa kuanzia.
>Ni kuona maisha yanakukimbia huku wewe bado uko darasani kujifunza kuvuka barabara.
Inabidi tubadilike kabla hatujamezwa na mfumo.
zilizokufikisha hapo ulipo.
Mindset inahitaji kubadilika kabla ya balance kubadilika.
Mabadiliko ya nje huanza ndani. Ukibadilika kifikra, fedha utaanza kuiona.
Hakuna shortcut ya kweli.🫵
Kama unakimbilia forex bila kuelewa basics, crypto bila kusoma risk, au biashara bila hesabu, utapotea.
Usikimbilie pesa, kimbilia maarifa.
Maisha yanampa yule anayejiandaa, si anayetaka tu.
System haikubali creative minds.
Inataka utulie, ufuate ratiba, upokee mshahara.
But that doesn’t work for everyone.
Wengine wana akili za kujenga vitu vikubwa kuliko job descriptions.
Don’t apologize for that.
Find your lane and dominate it.