Nawezaje kuachana na mwanaume ambaye mimi naona kabisa hatuendani na kwa sasa mimi simpendi nahitaji kubezi kwenye kutafuta maisha na sio mahusiano kwa sasa nifanyaje ili anierewe?
Karibu sana kwa wote mnaojumuika nasi !
Tunahitaji nguvu zenu, msaada wenu, na ushirikiano wenu ili tuweze kufika mbali pamoja, mpaka kila mtu imefikia hatua analeta changamo yake tunaichambua na kupata ushauri ulionyooka tena kwanzia Inbox unapewa ushauri mzito na wenye kutoa
Pole sana kwa wakati huu mgumu, lakini kumbuka, huzuni haitadumu milele. πΈ Endelea kusonga mbele na usiruhusu maumivu yakuzuie kufikia mafanikio makubwa maishani. πΌ Ni vizuri kukumbuka kwamba hata katika giza, bado kuna mwanga wa matumaini.
#huzuni
Kuna dada kavalishwa Pete ya uchumba (engagement) Pete π nzuri na ya gharama sana after week kaiuza kutatua shida zake alafu kanunua ya afutatu kavaa
Is she right or wrong??
Naomba kuuliza kama wewe ni mwanaume, kuwa na mahusiano na mwanamke anayekuzidi kipato huwa inafaa ? πΌ
Mbona moyo wangu una wasi wasi sana, Naomba ushauri wenu nisije nikajichanganya π
Naomba kuuliza, mimi ni kijana kuna rafiki Yangu wa kike ananipenda ananijali ananizidi kipato, watu wananiambia ananipenda tuwe wapenzi ila Mimi siamini lakini nikimwambia jinsi watu wanavyosema kuwa sisi ni wapenzi anacheka ananipa pole naomba ushauri !!