RAIS SAMIA ANATHAMINI MCHANGO WA WALIMU KATIKA SEKATA YA ELIMU - WAZIRI BASHUNGWA.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anathamini Mchango wa Walimu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Hispania hapa nchini Mhe. Jorge Moragas SΓ‘nches mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Canada hapa nchini Mhe. Kyle Michael Nunas mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvand Behineh, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.@ikulumawasliano
Pichani ni Bi.Jojianas Kibura (kulia) kutoka TARI- Maruku akielezea faida ya zao la muhogo sanjali na matumizi ya mbegu bora za zao la muhogo.@Salym@TeamSuluhuSamia@ummymwalimu@HusseinBashe
Ndugu Innocent Ndyetabula(kulia) akiwaelezea wakulima magonjwa mbalimbali yanayokabili zao la muhogo yakiwemo batobato na michilizi kahawia. Amewaasa kutumia mbegu bora za mihogo zilizofanyiwa utafiti.@TeamSuluhuSamia@HusseinBashe@TZMsemajiMkuu@DrHmwinyi
Pichani (kulia) ni Bi.Joyce Blandes akielezea sifa za moja ya mbegu bora za muhogo wakati wa siku ya wakulima iliyofanyika mkoani Kagera, wilayani Bihalamlo, Kata ya Runazi kijijini Runazi
Mafunzo ya wajasilia Mali wa mbegu bora za mihogo kupitia mradi wa BASIC https://t.co/XSU6BUvXGq kuzaminiwa na TARI, MEDA, TOSCI na IITA yamefanyika TARI KIbaha tarehe 11, 12 _NOvember 2022.
Lengo ni kuwa na mfumo endelevu wa upatikanaji wa mbegu bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wa Mazingira wa Tanzania mara baada ya kutembelea Banda la Maonesho la Tanzania lililopo ndani ya ukumbi wa Kimataifa wa Mkutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri @SuluhuSamia
#UPDATES: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili uwanja wa ndege wa Mwanza ambapo amebadili ndege na kupanda helkopta tayari kwa kuelekea Bukoba mkoani Kagera ambapo, Asubuhi ya leo ndege ya kampuni la Ndege la Precision Air ilianguka katika Ziwa Victoria.
Naibu Waziri wa Nishati Wakili Stephen Byabato(Mb), Leo 05 Novemba, 2022 amechangia katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
#WizarayaNishati#ByabatoKazini#KaziIendelee
Naibu Waziri wa Nishati Wakili Stephen Byabato(Mb), amejibu maswali yaliyoelekezwa wizara ya nishati wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni 04 Novemba, 2022 Jijini Dodoma
ππ½ππ½ππ½
#WizarayaNishati#ByabatoKazini#KaziIendelee
*UVCCM Wilaya Dodoma Mjini*
Leo tarehe 4/11/2022 Katibu Mkuu WA Vijana Taifa Ndugu *Kenani Kiongosi (MNEC* ) Amekutana na viongozi WA Kata na Matawi ya Vyuo Ndani ya *Wilaya ya Dodoma Mjini* π₯π₯π₯π₯π₯
#Kaziiendelee#Greenmarathon#Uvccmwilayadodomamjin
*_Mh Mkuu wa mkoa wa Shinyanga. *Mhe Sophia Mjema*, amewataka wananchi wake kutumia nishati safi ya kupikia Ili kuondokana na changamoto ya ukame inayo sababishwa na ukataji wa miti. 1/11/2022 na 2/11/2022
@samia_suluhu_hassa
@jmakamba@sophia_mjema
@shemahongeb
Wadau wakijifunza jinsi ya kuchimba mtaro na mashimo, kuweka udongo na mbolea ya samadi kwenye mashimo na jinsi ya kupanda Miche ya zabibu katika kituo cha uhaulishaji wa teknolojia za Kilimo Nzuguni
Wafanyakazi wa TARI Makutupora na TARI Hombolo wakiwa kwenye mkutano wa mapitio ya ndani ya kazi za vituo vyao (IPR meeting) unaofanyika katika ukumbi wa Maktaba ya mkoa wa Dodoma. Mkutano huo ulioanza leo tarehe 3 Novemba, 2022 mpaka 4 Novemba, 2022 @SuluhuSamia@HusseinBashe