"It is ironic how we acknowledge the fleeting nature of life, yet procrastinate on making pivotal decisions, comforting ourselves with the idea of doing it tomorrow."
#TheWisdomHub
"Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kwa paka kufungwa kengere shingoni, tabu ni kumpata panya wa kufanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana kwa kudhani paka watajifunga au watafungana kengere"
Mwl Julius K Nyerere 1922 - 1999
#Nyerereday2024