@Kingvannytz_ I doubt your knowledge kwenye comedy industry... msanii halipwi fixed amount kama ulivyo mention apo...wanalipwa kulingana na aina ya show,mahali e.t.c...pia hata kama wanalipwa fixed bado umekosea coz Leonard hawez lipwa zaidi ya boss wake..Coy mzungu ni comedian na pia co owner