@cyancute Chagua watoto walale na Nchi ilale, au Utoe kipaumbele kutafuta #255KATIBAMPYA au uungane na Kigogo kumsabaratisha KIPARA na wahuni wake.
Au uendelee kulia Maisha Magumu ujitupe toka ghorofani.
ChoiceIsYours
Tayari tumekabidhi Msafara wa Makamu Mwenyekiti @HecheJohn kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa tayari kwa kuendelea na kampeni maalumu(NO REFORMS NO ELECTION) ya kuwaomba watanzania watuunge mkono kuukataa mfumo mbovu wa Uchaguzi uliopo.
TUBAKI NJIA KUU...
NO REFORMS NO ELECTION
Uchunguzi wangu wa mwendokasi nimegundua MATUMIZI YASIYO NA TIJA TSH BILLION 371.42 uhusika wa moja kwa moja wa raisi @SuluhuSamia ununuzi wa pikipiki hizi.
Ninalaani sana kamatwa kwa Mhere, Ninasihi @bavicha_taifa ichukue hatua kali za kisiasa kukomesha mambo haya ha tekateka na kamatakamata inayozidi kushamiri
IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya rufaa. Kampuni haipaswi hata kuwepo kwenye rejesta ya BRELA. Yeyote anayethubutu kurudisha mzimu huu atazikwa nao #CAG2025
Lakini maccm hawajaanza leo hizi siasa chafu, Hawahawa ccm walimchangia Lissu anunue gari wakati hawajahimiza serikali ichunguze shambulizi lake, Kumchangia Sigrida sio ajabu tulitegemea siasa hizi, Asante ccm kwakuwachangia viongozi wetu kwa wakati tofauti na mahitaji tofauti
Msela asili yake noma, ila kwenye noma msela hakai.
Nilisikia mtu akisema maneno haya nyuma yangu nikashtuka sana.
Nikamwambia kwa lugha ya kijeshi "Sukutua" yaani atoe neno letu la siri kama tunafahamiana
Akajibu "Paratrooper"
"Ooh kumbe familia" nikamjibu
Haya yanafanyika nikiwa zaidi ya kilometa 600 kutoka makao yetu makuu ya "head to mouth" nikimaanisha DarEsSalaam
Haya yamefanyikia mitaa ya ugenini Kizota, Dodoma
Tuishi vyema tukumbatiwe
@Samskills_tz tupo naye na tunatamba naye. Mitano tena kwake
Huu ni Mkutano wa hadhara wa CHADEMA Mkoa wa Songwe uliofanyika leo MLOWO na kuhutubiwa na Mhe Mwenyekiti wa Chama Taifa @TunduALissu .
CHADEMA ina nguvu sana, Watanzania wana matumaini na CHADEMA.
Kituo cha polisi cha Kichina kipo maeneo ya Kijitonyama, kinafanya kazi ndani ya Tanzania kana kwamba hatuna serikali. Wachina wanawachukua vijana wa kitanzania na kuwapeleka kuwatumikisha makwao, wanawakamata Wachina wanaohitajika huko makwao kujibu mashtaka. Serikali kazi kwenu
Mlowo, Mbozi, Songwe. Ngome nyingine kubwa ya CHADEMA ndani ya Mkoa wa Songwe. Wananchi wa Mlowo wamewahi kuchagua diwani na mbunge wa CHADEMA. Wapo tayari wakati wote wakiitwa katika shughuli za CDM. CHADEMA tulikuwa hapa leo tukiwaeleza kwanini #noreformsnoelection