Hatuchagui mke kwa ajiri yetu bali mama kwa ajiri ya watoto. Mtoto analithi akili na tabia kwa asilimia kutoka kwa mama kuliko baba #Psychologicalperspectives
Mwenza wako ndiye mtoto wako wa kwanza, ucha kujisahahu ukishakuwa na watoto. Na ukiona watoto hawakuonei wivu basi ujue kuna tatizo la kiufundi mahali #Psychologicalperspectives
Kwa mwanaume hakuna cha mambo binafsi, mambo yako ni mambo yao, biashara zako ni biashara za familiya. Na hivyo hivyo ata pesa zako. Ndo maana kuna wkt unasahau ata kujinunulia nguo. Sasa nenda kinyume na hapo uone, utajua kama siku ya wanaume ipo #Psychologicalperspectives
Kuna wakati ukiangalia tabia za mwanao unasema huyu ni mimi mtupu. Alafu anatazama mbinguni unasema Mungu kwanini sasa? Inmradi umlaumu Mungu tu kwa makosa yako. Kwa sehemu kubwa mtoto amejifunza kwako kwa kuona ulivyomtendea ama kuwatendea wengine #Psychologicalperspectives
Mtoto akilelewa na mzazi 1 anakua na changamoto nyingi sana. Kwenye malezi kuna vitu lazima vikamilishwe na baba na kuna vitu ni vya mama tu, baba hawezi vikamilisha kwenye malezi ya mtoto #Psychologicalperspectives
Mungu naye ni nani, si akakupa maisha, ukakupatia babe na watoto juuππ kilichofuata sasa π unapiga chenga CR 7 akasome. Nakukumbusha tu watoto wako wanakusikilizia, we subiri wakue utanielewa#Psychologicalperspectives
kwa mtoto wa kiume mamaye ndiye mwanamke na mpenzi wake wa kwanza vivyo hivyo kwa baba na bintiye. Yeyote aingiliaye uhusiano huo huwa adui automatically akiwemo baba/mama #psychologicalperspective
30/3/2025 World BIPOLAR Disorder Day. Wagonjwa wengi hawapati matibabu sahihi na wengi wao hukumbwa na unyanyapaa. Mtu yoyote anaweza kuupata, tupinge unyanyapaa #Psychologicalperspectives
Kuna utulivu flani hivi wa Akili wa ajabu sana kutembelea na kushuudia nature kama hizi. Inakusaidia kuendelea kuifanya Afya yako ya Akili kuwa bora zaidi#Psychologicalperspectives
Picha linaanza hamna anayekuamini umuendeshe mbuganiππ. Aya tour ya game ata usipoona wanyama, Ile tu kuendeshwa masaa 6 uku mnakula fresh air+ Ile green unahisi kama umezaliwa upya, stress zote unaach a uko, try it utanambia Akili yako itakavyofunguka #psychologicalperspective
Kitendo cha baba kucheza na mwanae walau kwa dk 15 kila siku kunaboost ukuaji wa ubongo wa mtoto kwa 20%. Sasa we endelea kusema ni mambo ya wazungu, we uko busy sana kutafuta pesa zisizoonekana #Psychologicalperspectives
Siku uliyoamua kuweka mambo yako ya chumbanl sebureni ndiyo siku uliyowapa kibari walimwengu kusema chochote kinachohusiana nayo. #Psychologicalperspectives
Ni mhimu sana sana kujua hisia za watoto na hasa wale tunaowapeleka pre-school. Siyo tunajari homework tu na kuishia kuwaukumu wanakiburi, jeuri, kisirani na mengine mengi mabaya bila kujua wanachokipitia. Wengine hawajui ata kuelezea hisia zao #Psychologicalperspectives
ππKuna vitu huwezi kuelewa ukiwa SINGLE. Kila kitu unaona cha kijinga. Ukiona watu wanaenjoy we unapata hasira mpenyezo. Happy Valentine #Psychologicalperspectives