Shule zingine zinapataje info kwamba other schools are being burnt ndo ikue trend๐ค Sai wanafaa kucut communication na outsiders. Ukitaka kitu kwa mzazi ni mwalimu aongee na yeye
Unaachana na dem juu amekucheat,Mungu naye ni nani anakupea mwenye ameachwa coz of cheating na unasema umemove on..my friend hio Kwa mathematics inaitwa cross multiplication๐