Leo tarehe 18/62024 Idara ya Vyuo Vikuu ya @NgomeyaVijana imejuika na watoto mayatima wa kituo cha Assalam orphan kilichopo Mpendae Zanzibar kula chakula chapamoja na kuwafariji kwa mambo mbalimbali na kuhakikisha watoto hao wanajiona niwatu muhimu na wakuthaminiwa kwenye jamii.
@NgomeyaVijana ya @ACTwazalendo Taifa tumedhamiria kuwaleta vijana pamoja ili wawe sauti moja. Tunaamini kwenye nguvu ya vijana katika kuleta mabadiriko, kufanya maamuzi na kulinda rasilimali za Taifa letu.
#VijanaTaifaMoja#SisiniTanzania
Salaam Mh.Rais @SuluhuSamia .Mh.Rais , Msaidizi wako ambaye ni DC Kigoma Mjini Mh.Salum Kali alimuagiza mmiliki wa Hotel ya Coast View Resort amfukuze kazi Katibu wetu @NgomeyaVijana ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma ndg.Uledi Rajab kama Marketing Manager kwa kosa la kuwa ACT.
Tunajivunia Idara ya Vyuo Vikuu ya @NgomeyaVijana kwa kuendelea kupambania wasomi nakuchochea mabadiliko makubwa ya imanai ya wasomi kwa Chama chetu cha @ACTwazalendo@BussaraJr
Tunajivunia Idara ya Vyuo Vikuu ya @NgomeyaVijana kwa kuendelea kupambania wasomi nakuchochea mabadiliko makubwa ya imanai ya wasomi kwa Chama chetu cha @ACTwazalendo@BussaraJr
Wahitimu na wanachama mbalimbali kutoka Vyuo vikuu wakiwa katika mahafali ya kwanza ya Vyuo vikuu inayoendelea katika Ukumbi wa Hakainde Hechilema Makao Makuu ya @ACTwazalendo DSM
#SautiyaVijana#ACTWASO
Ukijiepusha na siasa utawapa fursa watawala kufanya maamuzi mabaya yatakayoweza kukuathiri wewe na kizazi chako. Mwenyekiti wa @NgomeyaVijana ndugu @abdulnondo2
“Hii kauli inayosema vijana ni taifa la kesho sisi @ACTwazalendo tunaikataa tunasema vijana ni taifa la leo na sio lakesho. Tunahitaji sana nguvu za vijana kwenye kuleta mabadiliko Tanzania.” Kiongozi wa Chama @SemuDorothy kwenye Mahfali ya ya kwanza ya wahitimu wa Vyuo Vikuu