Mmeamkaje vipenzi 😍
PAZIA MPYA ZA KUSHONA 🔥
Kitambaa Mita 1 Tsh 15,000/
Set upana wa mita 2 Tsh 85,000/
Set upana wa mita 1.5 Tsh 75,000/
Set ni pazia nzito 2 na nyepesi 1
Urefu cm 280 ukihitaji zaidi unapata
☎️0693218525
📍 Kkoo Agrey Dar
🚚 Tunatuma popote ulipo
Samehe watu achilia watu lakini wakae kule 😂Kusamehe si lazima kuwe na reconciliation, Unaweza kumsamehe mtu moyoni mwako lakini bado ukaweka mipaka (boundaries), Good Morning Fam💜
“Uaminifu na uwezo wa taasisi mara nyingi hupimwa kwa kiwango cha fedha ilichopokea. Lakini je, vipi kama kipimo halisi cha uaminifu ni maisha ambayo yamebadilishwa na athari iliyotengenezwa kwa jamii?”
#ResourcingRights#FundingJustice