Habari za asubuhi ?
Naomba Mniungishe ndugu zangu, niungisheni leo nipate kula😐🔥
🏆Nauza Simu, Full Box na used from Dubai ni original na zinakuja na warranty.
🏆Nauza Cover, Protector, Earphones, Earpods , PS , Tablet & iPads.
🏆Nafanya replacements za Vioo & Battery.
📍Nipo Mwanza Mjini
🚚Huduma ya Delivery ipo.
📞Nicheki DM
📞Nicheki +255747151944
Happy Birthday my love🥰❤️thank you for always being the brutally honest friend you are, maisha yako ni zawadi kwetu, i wish you all the good things life has to offer, you deserve it! @manta_michael ❤️
1/2
Habari Familia, Mungu ni Mwema baada ya Kuchukuliwa na watu nisiowafahamu Jmosi Asubuhi, niliachiwa kwa dhamana juzi jioni. Shukrani sana kwenu kwa kupiga kelele, kuniombea hata na kupambania kwa kila namna. Hata wale tuliotofautiana kwenye football, Music na itikeli zingine.