Ukimpigia simu ndugu,jamaa au rafiki Yako kumuomba msaada wa kifedha pale unapomaliza maongezi usikimbilie kukata simu,
Kuna maneno Huwa wanaongeaga !!!
Tambua thamani yako , na ndo sababu ya ww kuendelea kuwa Apo iwe ,kazini, penzini ,ndoani , na sehem yoyote Ile ungekuwa c kitu au huna mchango wowote niamnini usinge endelea kuwa Apo epuka kutumika Kama daraja la mwingine /wengine.
Hakikisha unamlinda na kumjari unae mpenda especially kama mmedumu kw mahusiano, makosa rekebisheni,msitumie mda mwingi kukaushiana una weza kuja kuta kapata mda , point ni kumpata mtu mpya unaenda kuwa mchepuko uyo nae anamtu mda ila wanavumiliana
Watu wengi wamekuwa waki copy na ku paste baadhi ya caption Toka kwa watu wenye hekima ,busara ,na upendo mkubwa mwisho Wana ambatanisha na picha zao kumbuka wanacho kiandika n tofauti na mioyo yao na maisha yao . Wana fake uku waki copy na kupeste ila GN
Usioe kama hauna remote 3 ndani
Remote ya TV
Remote ya radio
Remote ya kingamuzi
La sivyo mke atakuwa mtu wa kuzurulaa tu na kama Hana hata smartphone.
Hello dear ex nimeshindwa ku move one uko nje Kila mtu ana mtu mpenzi Bora tu turudiane na tusahihishe makosa yetu tu. Nikisema nianzishe now mahusiano mapya naenda kuwa mchepuko wa mtu