Kwenye sayansi ya Ujasusi duniani kuna Kanuni Mama inayo ongoza kanuni zote za kijasusi ulimwenguni, In science of intelligence, rule number one is.. "Trust no body suspect everybody"
Kwenye kanuni hiyo, Kanuni namba moja inasema.. "Usimwamini Yeyote Na Mtilie Shaka kila Mtu"
Wayahudi Wana Methali isemayo..."Di geshikhte hat khrub gemakht aundzere mshfkhus, zalt ir nisht khrub makhn aundzere hafenungen, velt... "Historia Ilimaliza Familia Zetu, Basi Dunia Msiharibu Matumaini Yetu.
"ISHI MASHIITA, FAINNAKA MAYITI" ....
Ishi Utakavyoishi, Tawala Dunia Utakavyo Itawala, Miliki mali na Utajiri Utakavyo Miliki, Ila kumbuka kuwa wewe ni Maiti mtarajiwa, Hakika Mauti ni haki kwa kila Binadamu.
Kwenye Taifa Lililoimarika Kidemokrasia Serikali Huwaogopa Wananchi Wake, Wakati Kwenye Taifa Ambalo Halijaimarika Kidemokrasia Wananchi Huiogopa Serikali Yao.
When the Government fear the people there is liberty. when the people fear the Government there is tyranny.
#CMCA