Karibu Katika Banda La @CCoHAS_ Kwenye Maonesho Ya Sita Ya Elimu Ya Juu Zanzibar Yanayoendelea Katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja.
Jiunge Na @CCoHAS_ Chuo Bora Cha Afya.
@CCoHAS_ Tunapenda Kuwakaribisha Wanafunzi, Wazazi Na Wadau Wa Elimu Katika Banda Letu La Udahili Kuanzia Tarehe 14 Hadi 20 Julai 2025 Katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja - Zanzibar.
Mzazi/Mlezi @CCoHAS_ Ni Miongoni Mwa Chuo Bora Tanzania Chenye Kutimiza Ndoto Za Vijana Wetu Katika Sekta Ya Elimu Katika Fani Mbalimbali Tulizonazo Chuoni Kwetu.
Udahili Bado Unaendelea, Karibu Ujiunge Nasi Katika Kozi Zilizo Na Kipaumbele Cha Mkopo Wa Serikali.
Changamkia Fursa Lukuki Zinazopatikana @CCoHAS_ Kupitia Maonesho Ya 49 Ya Biashara Ya Kimataifa Ya Sabasaba.
Karibuni Kwenye Banda Letu, Mambo Mazuri Yako Huku, Unakosaje Fursa Hii Adhimu Njoo Tukuhudumie!!!