@tanescoyetutz Mwezi July nilinunua umeme mkakata 6000 kama deni kama inavyoonekana kwenye picha hapo. Niliwa DM lkn mlikaa kimya. Tafadhari nielezeni mlikata kiasi hicho chote kwa ajili gn wkt kila mwezi nimekuwa nikinunua umeme na mnakata madeni ya kila mwezi?
@tanescoyetutz mwezi July mmekata 6000 yangu wakati sikuwa na deni lolote. Nimewaandikia DM mkajikausha. Tafadhari nielezeni kiasi hicho mlikata kwa ajili yann?
@EduTalkTz Siwezi isahau coz nilikuwa mmoja wa watuhumiwa ila nikachomoka kibahati..nyie form dala mlituchoma F.6 bana. John Ishengoma ni classmate huyo nampata vizuri kabsa
UNASUMBULIWA NA WADUDU, NYOKA, KUNGUNI, SISIMIZI, NZI NA WENGINEO?
Usitumie gharama kubwa kutafuta Dawa: Chukua Chumvi, Mafuta ya Taa, na Sabuni ya unga/maji na Fanya Hivi:
#UZI 🧵
Kwanza Like alafu Repost tuendelee.
Hiki ni kitu unaweza kufanya mwenyewe nyumbani.
@fbuyobe Bro umenikumbusha mbali Sana...hzo kunji za kugomea 5,000 mwaka 2010-11 nilikuwemo..mpaka Leo huwa siamini nilipita pitaje pale Makongo but kiukweli wale wajeda walikua waungwana Sana. Hawakutubughudhi Bali walitupa maneno ya kuendelea kupambana. Sikuamini!