You may need to define me,who is me,Why me and not You?,say what You want me to be like,rite now I’m John’s right hand assistant and Geita town parliamentarian.
@millardayo Yuko sahihi sana, inashangaza sana kuona wanachama waaminifu kwa chama
Chetu wakikosa nafasi na kupewa watu ambao Miezi kadhaa nyuma walikuwa maadui zetu, lakin Hakuna namna mwenye kitu ndiyo anakata nyama.
Nimekuwa napita SGR na kuangalia matangazo yetu kwenye hizi tv,
Sijajua waandaaji wamelenga kufikisha ujumbe upi maana Hakuna consistence, Naweza kushauli watumie channel ya urithi wetu inayorushwa azam tv na kama wana Tangazo lije katikati au baada ya movie.
Huu utaratibu nimeusikia
Leo tu Duniani , kwamba timu ikikosa haki ya mazoezi inasusia mechi !! TFF mko bias sana hamtaweza kubadili huu uamuzi hii ni precedent kwa nchi TIMU igomee mechi Alafu TFF wa kwanza kuutangazia umma kuwa mechi haipo, mjiuzulu hamna SIFA wote.