@TZMsemajiMkuu Nlikua na msikikiza Mh. Msigwa kwenye mahojiano na odemba akaulizwa kuhusu mtandao wa X akajibu kua serikali imeamua kuufunga baada ya kushindwa kuhafikiana na wanaoendesha mtamdao huu sasa inakuaje serikali yenye inautumia kutoa taarifa kwa umma wakati umefungwa hautumiki Tz?
Polycystic Ovary Syndrome Features
Mnemonic: OVARY CHAOS
O – Oligomenorrhea / Amenorrhea
V – Virilization signs (hirsutism, acne)
A – Anovulation → infertility
R – Raised LH:FSH ratio (>2:1)
Y – Young obese females
C – Cysts on ovaries
H – Hyperinsulinemia / insulin resistance
A – Acanthosis nigricans (dark skin folds)
O – Obesity & metabolic syndrome risk
S – Subfertility / cardiovascular risk
@Rydx_017@RogersMasahi Nilisikiliza hii hotuba ya Mh.Rais ni hotuba ilio bubikwa na hisia na ndio nature kuu ya mwanamke naamanisha hisia zinatangulia zaidi kwenye kuongea kabla ya tafakari ya kina nini unakiongea na kwa wakati gani.
Kwanini wasingetunza hiyo amani kwanini wasinge prevent huku tulikofikia kabla ya matukio yale ya 29.??? Wanakua wasikivu baada ya vifo na uharibu wa mali za wananchi na umma?
A Tanzanian man has expressed concern about the government investigating itself over the post-election violence, arguing that justice cannot be achieved since the police chief previously dismissed the videos as AI-generated.!