Katika maisha, ni lazima ukubali kuwa kuna watu utalazimika kuwaumiza. Siyo kwasababu unakusudia kuwaumiza, ni kwasababu katika mchakato wa kuishi maisha yako, ni lazima ufanye maamuzi.
TUPATE ELIMU KIDOGO HAPA⚡️📚
Unataka kuwa na akili yenye nguvu na kumbukumbu kali? Siri ni moja tujifunze kitu kipya kila siku.
Leo, tuchukue sekunde chache kuongeza maarifa mapya kwa ubongo wetu.
Uzi huu ni mfupi lakini wenye thamani kubwa🧵👇
@MporiPori00 @kaNchiKamaAka@spana_Konki Kijana @MporiPori00 walau ungeenda kujifunza kusoma stadi za KKK kwanza ndiyo uje u-post utumbo wako humu, sasa ona unavyoaibisha ukoo wenu na Kijiji chenu kwa kushindwa kuandika.
@HappyNationExp Nimeshatuma sana risiti ya mzigo, nimewasiliana na watu wa ofisi ya DSM sana, ila sipati ushirikiano wa kampuni yenu, mbaya zaidi mzigo wangu umekaa muda mrefu kwenu, je, nini shida? Weledi wa kazi upo wapi?
@HappyNationExp Hakika nawaambia, leo jumapili 02/03/2025, haitasalia jiwe juu ya jiwe, kama nikija kutuma tena mzigo kwenye hii kampuni, labda niwe nimelaaniwa, DSM - Simiyu (Lamadi) ndiyo mzigo wa kukaa siku zote hizi? Na mkanipatia na risiti tena mkijisifu kwa usafiri weunu wa uhakika.....
TAWALA AKILI YA MWANAMKE KWA NJIA 3:
1. USIPATIKANE MUDA WOTE
Usifanye maisha yako yamzunguke mwanamke wako. Mwanamke anataka kuhisi kuwa una vitu vyako vingine vinaendelea nje ya yeye.
Siku zote Mwanamke anataka kitu cha kushindana nacho ili kupata attention yako inaweza kuwa kazi yako au malengo.
Hivyo usimkere kwa kupatikana muda wote.
Elewa kwamba, huwezi kupatikana muda wote halafu bado mwanamke akakuweka kichwani.
Hivyo ukiwa kwenye mahusiano, ruhusu mwanamke kuwa sehemu ya maisha yako, lakini asiwe egemeo wala nguzo yako.
@VodacomTanzania kama kuna maboresho kwenye mifumo yenu muwe mnatoa taarifa, siku nzima sipati huduma, kama ni bidhaa ya kuharibika si itakuwa nimepata hasara, kama ni mgonjwa anahitaji fedha ya matibabu si atakuwa amefariki? Kama taasisi badilikeni halafu kuweni na utu basi.
Dalali Leonardo 😂😂😂😂😂😂
Ila nimeamini kitu!
Sometimes watu wenyewe ndio tunatafuta KUTAPELIWA 😂😂😂😂😂
Waangalie wateja wa Leonardo....
Video kwa Comments👇🏾