Mlisema sijafika area ya Mbita? Ndio huyo mimi! Leo niko ground kwa hii project ya Mbita–Sindo–Kiabuya hadi Sori. So far, tumeweka 24KM za tarmac, na overall progress iko 45%.
watu wa hii mtaa wananiambia mavijana wamepata mboka na Engineers wetu wako ground kila siku kuhakikisha tunajenga barabara safi, imara na ya kiwango cha juu.
Once complete, barabara hii itarahisisha access kuelekea Lake Victoria upande wa Suba South na wananchi wataweza kufika fishing grounds kwa urahisi na kusafirisha samaki hadi masokoni kwa haraka na kwa gharama nafuu. #KeRRAikoWorks
Watu wa Homa Bay Admin leo ako area kucheki progress ya hii barabara ya Njeri- Oriwo - Border- Pala Road. Hapa ground kazi inaendelea fiti na Engineer wetu na contractor wanachapa kazi ili kuhakikikisha hii barabara inakamilika.
Hii project ikiisha watu wa hii mtaa watakua na ease in their movement wakienda kupata huduma muhimu kama masomo, matibabu na pia watafikisha produce zao sokoni kwa urahisi.
Admin ako ground kuhakikisha mnapata update na progress ya barabara zote za KeRRA. Nikuje wapi next?
#KeRRAikoWorks