@mangekimambi Huyo USA kama angekuwa yupo kwaajili ya kutetea utawala wa sheria na democracy baada ya oct 29 Angekuwa kashatia mguu lkn kwakuwa haikuwa na maslahi kwake ndo maana unaona hakuna kilichofatia
@lusomi24@mangekimambi Baada ya mazungumzo na Iran mgogoro ulitarajiwa kuongezeka,we nani kakuambia Iran alijua mambo safi? Huna unachokijua zaidi ya story za kuunga unga
@mangekimambi Hapa mambo ni mawili tu Aidha hujui nature ya ule mgogoro na kama unaujua basi we ni chawa wa Trump,,hakuna uhalali wwte wa Trump na Benja kuishambulia Iran zaidi tu ya ukorofi wao hao ndugu zako
@Getrude_mollel Iran wamenifurajisha sana,mnapopata kiongozi kama wa irani anaejali maslahi ya taifa nchi lazima ipige hatua,i wish na kwetu tuje tupate kiongozi wa aina hiyo