@Roma_Mkatoliki Nilikua naangusha mbavu zangu pale meru 4 cube 1 miaka ya 2012. Vijana tulikua tukichomokea kigeti kidogo tunatokea kitandu chap kCMC hii hapa PcB wengi tulikua tunajiona tumeshakua madaktari hahahhaa
@JumaAyoo Umeona andiko la yanga wap? Jifunze uandishi makini
Mfano: nimesoma andiko la yanga @yangaclub or @.........
ili hata msomaji anaefatilia makala zako awe na taarifa sahihi kuhusu wew na mahali ulipozitoa
Hakuna MTU hapa duniani aliyewahi kufa kwaajili au kisa kuwa MTiiFu ila kuna mamilioni waliokufa kwaajili ya kiburi na ujeuri.
Kumtii MuME wako ama mKE wako hautakufa.
Zaidi jifunze katika kumjua Mwenyezi Mungu unaemuamini.
@TMnyama4_ Huo ni UJINGA MTUPU SIWEZI KUMPA POLE HUYO NI MJINGA SANA. 2016-2024 ni miaka 8 iliyoshiba hakuona umuhimu wa kujua ndugu, marafiki, jamaa wa huyo mwanamke wake?
Alafu hakuna mahusiano ya wapenzi ambayo hayana mikasa au kashkashi ama kuvutana ile nginjanginja kwa miaka 8 yote
@johnmbatizaji The thing is that Tax is a wide knowledge, government inajua kukusanya tu, pia tax ina flat rates zake sio chargeable kulingana na changamoto zako. Ni muhimu kuelewa hilo, sometimes kila mtu akieleza changamoto zake hakuna kodi itakatwa kwa mtu yoyote.