WAKOLONI WEUSI wanafanya haya yote Mh Tundu Lissu ajione MPWEKE nyakati hizi ngumu kwake.
Chama anachokiongoza hakikuwa na taarifa kama leo Kuna kesi ya kumpeleka Mh Lissu mahakamani, mawakili wa chama hawakuwa na taarifa kama leo Mh Lissu anapelekwa mahakani.
Chaajabu MEDIA TAKATAKA (Millard ayo) alikuwa na taarifa na akawahi kutegesha kamera zake kutuambia nini kinaendelea. Tukisema hii tasnia imekuwa TASNIA ya wakoloni weusi mnaona tunawaonea.
Viongozi wa CHAMA hakuna alieruhusiwa kumuona Mh Lissu zaidi ya miezi 6 sasa. Wanamtengenezea mazingira ya kuona kama huku nje tumemsahau na tunaendelea na mishe zetu akubali kuelewana nao wanavyotaka.
Pole nyingi kwa Mh Lissu ninachoamini siku sio nyingi utatoka na utatusimulia yote haya mazingaombwe unayofanyiwa GIZANI. Dunia itafahamu tulivyo na MADIKTETA MAKATILI SANA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kwanini haupati engagement!? Najua umejuliza sana... Wakati mwingine unaweza kuwa na followers 10k kbsa.... JIBU Ni simple sana... Hau like na kukomenti post za wenzako pia una followers wasio elewa lugha yako( Kiswahili). Show love tuta show love... Jifanye Mond upotee... 👏🇹🇿
Hii picha inaonyesha Sugu ni:
- mtulivu na jasiri
- mtu serious. kwenye Mambo
- Kavaa Miwani ya Mamlaka
- Mkao wa Dominance
- I am here. I am serious, i am not amused 1 i know what i am doing!
wataalam wa body Language wanatuambia Hii Sura ya Heche ina maanisha
(i) I mean business
(ii) I am not backing down
(iii) I am confident
(iv) I am deeply serious about it
(v) I am mature and stronger
Hii picha inafundisha umuhimu wa nyakati.
Tunapopata nafasi ya kufurahi na marafiki na ndugu zetu tuitumie vyema.
Huenda siku zinakuja shida na taabu za dunia zikatutenga na kutufanya tusipate nafasi hiyo tena.
Kuhusu kuzimwa kwa mtandao. Ameomba radhi amesema jambo hilo halitajirudia
Kuhusu mauaji amesema, "Hatua tulizozichukua 29 Oct 2025, zilikuwa muhimu kuhakikisha usalama"
Sijui kama ninachanganyikiwa peke yangu?. But it is so painful, R.I.P Mdogo wangu Michael Christian
MWANAUME ANA MAADUI WAWILI, ADUI WA KWANZA NI MKE WAKE NA ADUI WA PILI NI WATOTO.
Ukishindwa kuwadhibiti hao unaweza usifikishe umri mrefu hapa duniani..