Umetumika kisenge na ninafikiri you knew what you did. Samia ameuwa maelfu ya Watz. Ni upumbavu kuchukua pesa kutengeneza diversion, au kuibua mjadala wa kijinga wakati tuko msibani.
Acha ushirika wa kipumbavu na watu wanaotaka wakuuwe pia. They’re so desperate.
Learn or perish
Kila nikimuona Niffer moyo wangu unavuja damu, huyu ni msichana ambaye hakustahili hata robo ya maumivu anayobeba leo, kwa kipi haswa cha ajabu alichofanya😡
Tumemwangusha kama jamii tumemnyima sauti, tumemnyima ulinzi, na tumemuacha apigane na maumivu peke yake, imagine hawa wasanii na watu maarufu wa Tanzania wako busy na vibao kata hata kupaza sauti hawawezi 🚮
Ni uchungu kuona namna ambavyo angeweza kung’aa, lakini akasukumwa gizani na ukatili wa watu waliokataa kuona utu wake. Mungu azidi kumpa nguvu ya kuvumilia magumu anayopitia naaamini she will come back stronger 🙏❤️
#FreeNiffer
Kwamba watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali zenu!!!!
Rasimali zipi?
Bandari mmekabidhi kwa mwarabu Dubai.
Madini wanamiliki watu wa nje wazungu na migodi midogo wachina.
Vijana wa Tanzania wananufaika vipi na hizo rasimali tofauti na nyie na familia zenu?
Wakitaka kuweka Mwenyekiti wa mtaa atakaewasemea mnaiba.
Wakitaka Diwani, mbunge au Rais atakaebadili maisha yao mnapora na kuwaua..
Msifikiri Watanzania wa sasa ni wajinga.