Sisi ndiyo wale ambao tulifungiwa tusifanye siasa siku 310 mfululizo na tumerudi tumekuta hata MaCCM na vyama mipango yao ya kando vinaogopa kufanya mikutano ya hadhara. Nawapa challenge, nileteeni picha kama hii mbunge wa CCM akifanya mkutano wa hadhara jimboni tangu Oktoba 29.
Zamani mtu kwenda bank alikua anajipanga kabisa.. anavaa smart kabisa... Ila sikuhizi 😂💔.. kijana na vest ake huyooo na huna la kumfanya .... Nini kimepungua sijui
Mnapopachika hizo headlights zenu zenye mwanga mkali kama karabai za wavuvi mjue kuwa mkiwasha indicators za mbele huku mataa hayo yakiwa yamewashwa hakuna anayeziona hizo indicators. Zinamezwa. Ajali!
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
Mungu awabariki . Love you sana.
Kuna Places unajijengea zake a get away House, or Cabin, sehemu utakua unaenda zako kujituliza na stress za maisha ya mjini.
Sehemu ukiamka unasikia ndege wanaimba, unavuta Clean air, Na Utulivu halisi.
Hii ni namna nyingine ya kuongeza muda wa kuishi.
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
Zamani tulikuwa tunakula pamoja; chakula kinawekwa kwenye sinia moja mnazunguka familia Nzima. Hii ilikuwa inasaidia wana familia kuimarisha bondi. Aliyeleta utaratibu wa kila mtu kujipakulia chakula alituondolea jambo la msingi—na kutuongezea bajeti ya mboga na kuosha vyombo
@Dominicksalamb1 Nan aone aibu? Kwa namna moja au nyingine ni vyema hata mtu akaangalia maslahi yake kimataifa ,maana unaharibu kwa maslahi ya wengine huku ukijishusha kimataifa kwa kukosa fursa muhimu