@pastajoshuatz Hii story Haina hati miliki ya m2 mmoja kwa maana inahusu maktaba za serikali idara za serikali ndo wenye ithibati nayo, huyo segumba sio ndo mwenye pekee anazijua au kusimulia
Kuna matukio mengi ya serikali yapo wazi na yanajulikana
Kifo cha sokione
Mapinduzi zaid ya 7 ya mwl
@HildaNewton21 Haya wale ya udsm na sua au mzumbr watoto wa udom hizi elimu zenu hazina faida njooni online mpige hata theology mpate uwazir diploma inatodha sana
@YerickoNyerereT Mnajitaftiaga matatizo kuingia mgogoro na wananchi
Unajuuliza mtu Yuko bar ghafla kapigwa chupa why
Haya yanachangia sana
Hakuna mkubwa kuliko haki na raia
@AbroadTanzania Jamaa ma mange mnaputia wakati mgumu sana kwa sasa ni kama hampemdwi kabisa kwa sasa na hamuna saut halali kwa wananchi Iran kawafanya muwe machoko kabisa
@AbroadTanzania Kwan hapati mshahara, hakopesheki?
Kawa mbunge kwa miaka 30 Kawa mkuu wa wilaya mkoa pia nadhan kubwa zaid wazur miaka 25 plus
Mishahara yake na mikopo ni mikubwa kuliko mtumishi wa kawaida
Kuwa na hotel ya billion 10 kitu kidogo sana