@chacha_heche Punda zinapelekwa mnadani hizi, hapo wamehaidiwa kupewa Tshs 2,000 kila mmoja na bado wanaona furaha wakati wenzao wanaiba Trillion dollars wanatumia na familia zao na huku wanatembelea Land Cruiser
Kuna hofu kubwa sana kwa wananchi na serikali yao, maana serikali imekuwa na hasira na wananchi wake. Je, ni kweli inatakiwa kuwa hivyo? Nilitegemea serikali ingesikiliza wananchi wake ila wananchi wakiongea serikali inaanza mipango ya kuua anaye ongea aubkupanga kuongea ๐ข
@Jambotv_ Mungu shughulika na hawa watu ambao wanafanya au kunyima haki za watu kufanya maamuzi kwenye kuchagua viongozi wao. Washushie njaa na magonjwa katika maisha na familia zao huku jua likiwa linawaka mchana na usiku kwenye nyumba na matembezi yao ๐๐ฝ
@VitusNkuna Akili imekwisha kuhama wewe, bora ungeenda CCM ungekuwa umefanya la maana kama Msigwa. Una miezi tu kuendelea kuwepo hapa ukiwa na pumzi ya kupost,
@Sativa255 Naona vijana wamekuja kula posho zao, hakuna wanachojua au kusikia hapo. Ila serikali za Afrika zina usenge sana, imagine pesa hii ingeweza kununua dawa na kuziba mashimbo kwenye barabara za kule Mbulu watu wakapita bila shida ila wanaenda kutengeneza na kufanya ujinga kama huu.
Hivi #MdudeNyangali ndio kusemaje eti, watu wameanza kumsahahu au wanaendelea kulilia maisha yake. Kuna mambo yanaumiza sana, kuna wakati Mungu wetu awe anatoa majibu hapa hapa tena kwa wakati dhidi ya hawa wanao dhulumu maisha ya watu!
Dear @VodacomTanzania please stop sending promotional and similar messages to my phone number. I am not interested in receiving them. Kindly update your records to reflect this preference. #StopMgodi#StopMgodiMessages#MgodiScam