Global leader in Fleet Management and Stolen Vehicle recovery. We offer smart fleet solutions to meet both Individual & Business needs.
Call: +255 689 444 143
Helping your team improve their driving behaviour doesn't just keep them safer on the road, it improves your bottom line too.
Saving you money is what we can do for you. There’s no need to drive it away, drive your money to the bank with Cartrack.
https://t.co/qBro2mEr3i
Did you know that you can keep track of your vehicle wherever you go?
Cartrack’s mobile app gives you access to your vehicle’s location anytime, anywhere. Check your app store, and get downloading!
IOS: https://t.co/NSF9xvm3gg
Android: https://t.co/aUMK09s2W5
We can’t improve the price of fuel in Tanzania, but we can improve your fleet’s fuel cost expenditure.
Managing your fuel costs and the amount you use is easy with Cartrack. Let us show you how you can save more.
https://t.co/oapnSWjPvT...
Unaweza kupima na kujua muda ambao mashine/mtambo wako umefanya kazi ili kufahamu muda sahihi wa kufanya service pamoja na kupata mapato halisi yatokanayo na kukodisha chombo ungepeda kujua tunafanyaje?; Pata ushauri wa bure kabisa kupitia: 0788235296
#PeaceOfMind#Tanzania
Fanya kilimo cha kisasa ukiwa na #Cartrack. Tunatoa suluhisho la kukuwezesha kufuatilia mwenendo wa mashine za kilimo kama tractor n.k . Utaweza kuona muda wa mashine kufanya kazi ili kujua kiasi halisi cha malipo unachostahili. Wasiliana nasi kufahamu zaidi: 0788 235 296
Kwa malipo ya TShs 34,500 tu kwa mwezi, #Cartrack itakuwezesha kulinda gari yako. Tutakuwezesha;
1. Kutambua njia ambayo gari yako imepita
2. Kutafuta gari ambayo imepotea
3. Kudhibiti mwendokasi wa gari.
4. Ripoti nzima ya safari ya gari husika
Tupigie: 0787562644
#peaceofmind
Teknolojia ya Cartrack hupima kiwango cha nguvu ya battery wakati wote inapokuwa imeunganishwa katika gari. Utapewa taarifa endapo betri ya itaondolewa katika gari yako ili kuhakikisha kuwa chombo chako kiko salama. Tupigie kupitia: +255 222 772 434
#PeaceOfMind#SafetyFirst
Kwa kutumia huduma ya Immobiliser, unaweza kutuma taarifa katika chumba chetu cha udhibiti ili kuzuia gari yako isiwake endapo utahisi ipo katika hatari ya kuibwa. Baada ya hapo tutafuatilia na kuirejesha endapo itakuwa imeibwa.
#PeaceOfMind
Wasiliana nasi kupitia: 0699707953
LEO NI SIKU YA AFYA YA MOYO DUNIANI
Moyo ❤️ ndio injini ya uzima wako,
Linda MOYO ❤️ wako kwa:
1️⃣Kutovuta sigara
2️⃣Kudhibiti uzito
3️⃣Kula mboga za majani,matunda
4️⃣Kudhibiti kiwango cha chumvi
5️⃣Kupima presha na kisukari
6️⃣Kufanya mazoezi
7️⃣Kudhibiti Pombe
#WorldHeartDay
Endapo gari itapita katika eneo lisilokuwa na mawasiliano ya GPS/GSM, basi kifaa cha Cartrack kitatunza hadi matukio 5000 yaliyotokea wakati huo na kuyatuma upya yaweze kuonekana pindi mawasiliano yatapokuwa yamerejea ili kutunza taarifa za safari nzima. #PeaceOfMind
Get real-time alerts about your vehicle's movements on your smartphone by simply downloading the Cartrack application. Get it on Android: https://t.co/aUMK09s2W5 and IOS: https://t.co/NSF9xvm3gg
Kupitia route-replay ya Cartrack, unaweza kuona mizunguko yote ya gari na njia ilizopita pamoja na uendeshaji wao kila siku. Sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi na madereva wako kuhusu njia wanazopita. Wasiliana nasi kupitia: 0788235296 kwa maelezo zaidi.
Cartrack inafanya kazi na taasisi mbalimbali kama mabenki na wakopeshaji wengine kuwafikia wafanyabiashara za usafirishaji pamoja na wakodishaji mitambo ya ujenzi katika kuendeleza biashara zao. Wasiliana na Cartrack kufahamu zaidi. Simu: 0788 235 296
Cartrack’s Mobile Application gives you access to up to 5 different reports for easy assessment of your vehicles’ movements that allow you to make significant decisions regarding your vehicles’ operations. Download it now: https://t.co/CyF4CyJSS4 and enjoy #PeaceOfMind
Take full control of your fleet with our fleet management solution packages. You will get all the necessary information to help you monitor your vehicles and minimize costs of operations. Enjoy #PeaceOfMind
Ukiwa na Cartrack utaweza kupata taarifa endapo gari husika itakwenda nje ya eneo ulilokusudia. Hii ni kuhakikisha madereva wanafanya kazi ilivyokusudiwa ili kupunguza matumizi ya mafuta na kusafirisha muda kwa wakati. Wasiliana nasi kupitia: 0788 235 296 au 0689 444 143
Hatua muhimu za kufuata endapo gari yako:
1. Toa ripoti katika kituo cha polisi kilicho karibu na wewe.
2. Toa taarifa Cartrack ukiwa na RB number kutoka police ndani ya masaa 6.
3. Cartrack itaanza kuifuatilia gari yako.
4. Cartrack kwa kushirikiana na Polisi watakamata gari.