@Innocen89950594 Kwa kawaida sperm zilizo na rutuba nzuri zinaeza ishi mpka siku tano ndani ya mazingira mazuri ya uke...
Sasa swali moja hapo ni, je mzunguko wa hedhi wa mweza wako upoje?
@Innocen89950594 Mara nyingi huwa tunasahau kuwa, kutibu ugonjwa lazima u-deal na source pia otherwise kama unatumia dawa na bado umeji-expose kwenye chanzo cha ugonjwa, hakuna kitu unafanya apo...
Utalaumu madaktari bure...
~if you may find it helpful...
๐ฏ๏ธ To every Tanzanian comrade whose life was taken in the fight for democracy, your blood became the ink that writes the next chapter of resistance. ๐๏ธ