@NMBTanzania Habari NMB , leo nimelipa muamala wangu kwenda UTT kwa kutumia acc yangu ya NMB , muamala ukasema unsuccessful na hela imekatwa
Naomba msaada
@VodacomTanzania Nimeandika tena leo kutafuta usaidizi kwenu
Msg ya muamala hii hapa
"CKO5LBMUU47 Confirmed. Tsh20,000.00 sent to M-KOBA for account f10691 on 24/11/25 at 8:55 AM Total fee Tsh0.00 (M-Pesa fee Tsh0.00 + Government Levy Tsh0.00). Balance is Tsh23,781.59"
@VodacomTanzania Hello Vodacom
Kuna muamala wangu wa Tarehe 24 Nov 2025 , kutoka acc yangu ya voda kulipia kikoba , haukukamilika , pesa ilikatwa kwenye acc yangu ya Mpesa na kwenye kikoba haikufika
Nimewasiliana na customer care zaidi ya mara tatu ila hawajafanikiwa kunisaidia
@NMBTanzania Hello NMB
Leo nimefanya muamala wa kuhamisha fedha NMB to NMB , fedha kwenye acc imekatwa na msg kurudi kuwa muamala umekamilika
Ila account ya pili haijapokea muamala huo mpaka muda huu
@NMBTanzania Hello NMB
Nina account mbili za NMB na zote nimezisajili kwenye huduma za simu banking kwa line zangu m bili tofauti
Simu yangu (Smart inabeba line moja at a time) , na nikadownload NMB app na kufanikiwa kusajili acc namba moja kwa line moja
@NMBTanzania Hello NMB leo nimejaribu kutoa hela kwenye moja ya matawi yenu Tanga, ATM card ikarudi , na risiti ikatoka kwamba muamala umekamilika na hela mkakata , lakini hela haikutoka kwenye ATM machine
Msaada kwenye hili tafadhali
Tusiwe waongo uchi wa mwanamke unatisha jmn una sura mbaya ni mbaya
Wao wanaume hawana shida hawatishi 🙌
Leo ukaupost uchi mtandaoni aisee
People don't fear of anything 🙌🙌😂
@ngurumo Hivi hayati JPM aliwezaje kusogeza mbele kikotoo?? Naamini kama aliweza kipindi kile na mama anaweza, serikali iache kushupaza shingo tu kwenye hili
@NMBTanzania hello Nmb , i was looking for an immediately soln with you, involving a transaction i made between your bank Nmb and CRDB , Unfortunately our conversation has ended up prematurely without giving me reassurance of completing my transaction ,pls i need your help