GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote.
Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025.
Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
Kila kitu tunachokitumia leo kimebeba jasho la wanaume.
Barabara tunazopita, madaraja yanayounganisha miji, reli zinazobeba uchumi, nyumba tunazoishi, hospitali tunazotibiwa, nguzo za umeme zinazowasha miji na vijiji, hata taasisi za elimu zilizotufikisha hapa. Vyote hivi vilijengwa na kazi, muda, risks na kujitolea kwa mamilioni ya wanaume waliotutangulia na wa sasa.
Baba zetu walifanya kazi migodini, mashambani, viwandani, kwenye maeneo ya ujenzi na katika mazingira magumu ili kizazi kinachofuata kipate maisha bora zaidi. Wengi walijitoa bila kutarajia pongezi. Wengine walikufa wakiwa kazini. Wengine walibeba mizigo ya familia zao kimya kimya kwa miongo kadhaa. All these cannot be acts of selfishness.
Ndiyo maana wanawake mna deni kwa wanaume waliowatangulia, kaka zenu, baba zenu na wanaume wanaowazunguka kwa ujumla wanastahili heshima na kutambuliwa kwa sacrifices walizo-make. Na si kwa sababu wao pekee walijenga kila kitu. Wanawake pia walitoa mchango mkubwa katika kulea familia, kujenga jamii na kusukuma maendeleo, hilo halina ubishi. Lakini siku hizi mchango wa mwanaume umeanza kuonekana kama kitu cha kawaida kiasi kwamba hauonekani tena.
Tatizo la mjadala wa sasa ni kwamba mara nyingi mwanaume huangaliwa kama chombo cha kutoa. Kutoa fedha. Kutoa nguvu kazi. Kutoa ulinzi. Kutoa huduma. Kutoa matokeo, yaani dhana nzima ni extractive in nature. Anaposhindwa au kukataa kutoa, thamani yake huanza kuhojiwa.
Wanawake muanze kumuangalia mwanaume kama binadamu na siyo mgodi wa rasilimali unaopaswa kutoa kila wakati. Ana ndoto. Ana hofu. Ana maumivu. Ana uchovu. Ana mahitaji ya kuthaminiwa kama ilivyo kwa mtu mwingine yeyote.
Jamii inayotaka maendeleo haiwezi kuendelea kufurahia matunda ya kazi za wanaume huku ikipuuza utu wao. Heshima kwa mwanaume siyo zawadi, ni deni ambalo historia tayari imethibitisha.
Pale serengeti kuna mahali panaitwa Golini Ngorongoro mpaka geti la serengeti NABi gate.
Jamaa wali kaa site miezi minne kutengeneza pale, chakushangaza Bara barabara aija maliza miezi minne imeshakuwa korongo na sasa eneo lile linaongoza kwa ajali na kuharibu magari.
Kuna kipande cha barabara kilijengwa Kilimanjaro, kati ya Bomang’ombe na KIA, hakijamaliza miezi sita ila tayari kimezibwa viraka vinaweza kufika 100.
Labda mtu aje atoe ufafanuzi kuwa vile siyo viraka.
Naamini kuwa tukiamua tunaweza kujenga barabara kwa viwango ambavyo mashimo kutokea ni bahati mbaya au extreme conditions.
#TajiriLaKihaya@TaasisiMoyoJKCI kuna maswali muhimu hamjayapatia Majibu kwenye hili andiko langu!
Mmetoa taarifa ya juuu juu saana!
Kwa nini mlimuHAMISHA CHUMBA??
Kwa nn chumba mlichomhamishia mapigo ya moyo na pressure hayakua yanasoma kiusahihi…??
Hadi yule daktari wa kihindi alipokuja kupima na kipimo chake ndio tukagundua hilo na bado hamkubadilisha??
Mgonjwa wetu alikuja akiwa mzima… ila mlipomlaza tu hali kila siku ikazidi kuwa mbaya???
Kwa nn manesi kuna dawa walikuwa wanaambiwa wampe mgonjwa… ila hawampi kwa wakati hadi tena madaktari watakapopita waulizie kama kapewa ndio wampe???
Maswali ni mengi saaana…
Idara ya Afya ina mambo mengi sana ambayo yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
NB/ Wizara ya Afya na watumishi wenu wa kada zote kwenye Afya punguzeni ufafanuzi na kuteteana. Watu wana poteza maisha na wengine ulemavu wa kudumu ambao unasababishwa na uzembe wa watu wenu.
#TajiriLaKihaya
KUNA MASWALI MAKUBWA YANAYOPASWA KUJIBIWA MUHIMBILI NA JKCI.
Leo familia yetu imepoteza mdogo wetu. Moyo wangu umejaa huzuni, uchungu na maswali mengi ambayo hadi sasa hayajajibiwa.
Siku ya kwanza nilipofanikiwa kumpeleka mdogo wangu JKCI na kupata chumba cha VIP, nilifurahi sana. Niliona kama tumepata mwanga wa matumaini. Baada ya vipimo, tuliambiwa tatizo lake la moyo lilihitaji upasuaji mdogo tu na angeweza kuendelea na maisha yake kawaida.
Tukaahidiwa upasuaji ungefanyika ndani ya siku mbili au tatu.
Lakini siku zikageuka wiki.
Kabla hata ya kulazwa, tulikuwa tumepambana kwa zaidi ya mwezi mzima tukizungushwa kutoka leo hadi kesho. Mara daktari hayupo, mara jopo la wataalamu halijakaa, mara kipimo kirudiwe, mara tusubiri dawa zifanye kazi kwanza. Kila siku ilikuwa ni ahadi mpya na tarehe mpya.
Baada ya kulazwa tuliamini safari ngumu imekwisha. Lakini ndipo mateso makubwa zaidi yalipoanza.
Mdogo wangu aliingia hospitalini akiwa bado anaweza kutembea, kuongea, kula na kujitambua. Kila siku tulisubiri upasuaji ulioahidiwa, lakini haukufanyika. Badala yake hali yake ilianza kuzorota mbele ya macho yetu.
Wiki moja ikapita.
Wiki mbili zikapita hadi wiki tatu
Hakukuwa na upasuaji.
Kulikuwa na sababu mpya kila siku.
Kisha tukahamishwa kutoka chumba tulichokuwa tumepewa kwa madai kuwa kingefanyiwa fumigation. Lakini usiku huo huo mgonjwa mwingine akawekwa kwenye chumba hicho. Hadi leo hatujui ukweli ulikuwa nini- lazima UFISADI ULITUMIKA HAPA!
Tulihamishiwa chumba kingine JAPO kilikua VIP… ila hakikua kwenye standard sawa!
Hata nakumbuka kuna Daktari wa Kihindi alikuja kusoma vipimo akasema ile MONITOR haipo sawa! Mapigo ya moyo na oxygen haisomeki kwa usahihi…
Sasa kwa nn tulihamishwa chumba? Kutoka chumba kizuri kuja hiki?? Kwa nn kile tulichokuwepo alipewa mwingine usiku huo tumehamishwa? CORRUPTION!
Baada ya hapo hali ya mdogo wangu ilizidi kuwa mbaya zaidi. Akapoteza nguvu, akashindwa kuzungumza, akashindwa hata kuwatambua watu waliomzunguka.
Tulikuwa tunauliza maswali. Tulikuwa tunaomba msaada. Tulikuwa tunaomba hatua zichukuliwe haraka.
Lakini muda uliendelea kwenda.
Leo asubuhi mdogo wangu amefariki dunia.
Siandiki haya kwa hasira pekee. Naandika kwa maumivu ya familia iliyokuwa na matumaini makubwa ya kumuona mpendwa wao akirudi nyumbani akiwa mzima.
Kama kweli kulikuwa na uzembe, kucheleweshwa kwa huduma, ukosefu wa uwajibikaji au mifumo mibovu ya utoaji huduma, basi kuna haja ya uchunguzi wa kina na hatua kuchukuliwa. Maisha ya Watanzania yana thamani. Wagonjwa hawapaswi kupoteza maisha wakisubiri tarehe nyingine, kikao kingine au ahadi nyingine.
Tunataka majibu.
Tunataka uwajibikaji.
Na zaidi ya yote, tunataka familia nyingine isipitie maumivu tuliyoyapitia sisi.
Kama hapa ni VIP… je wagonjwa wa kawaida wanapata huduma gani???
Pumzika kwa amani mdogo wangu. Tulipambana kwa kila tulichoweza. Mungu akupokee katika makao ya milele. 💔🕊️
Kila kitu tunachokitumia leo kimebeba jasho la wanaume.
Barabara tunazopita, madaraja yanayounganisha miji, reli zinazobeba uchumi, nyumba tunazoishi, hospitali tunazotibiwa, nguzo za umeme zinazowasha miji na vijiji, hata taasisi za elimu zilizotufikisha hapa. Vyote hivi vilijengwa na kazi, muda, risks na kujitolea kwa mamilioni ya wanaume waliotutangulia na wa sasa.
Baba zetu walifanya kazi migodini, mashambani, viwandani, kwenye maeneo ya ujenzi na katika mazingira magumu ili kizazi kinachofuata kipate maisha bora zaidi. Wengi walijitoa bila kutarajia pongezi. Wengine walikufa wakiwa kazini. Wengine walibeba mizigo ya familia zao kimya kimya kwa miongo kadhaa. All these cannot be acts of selfishness.
Ndiyo maana wanawake mna deni kwa wanaume waliowatangulia, kaka zenu, baba zenu na wanaume wanaowazunguka kwa ujumla wanastahili heshima na kutambuliwa kwa sacrifices walizo-make. Na si kwa sababu wao pekee walijenga kila kitu. Wanawake pia walitoa mchango mkubwa katika kulea familia, kujenga jamii na kusukuma maendeleo, hilo halina ubishi. Lakini siku hizi mchango wa mwanaume umeanza kuonekana kama kitu cha kawaida kiasi kwamba hauonekani tena.
Tatizo la mjadala wa sasa ni kwamba mara nyingi mwanaume huangaliwa kama chombo cha kutoa. Kutoa fedha. Kutoa nguvu kazi. Kutoa ulinzi. Kutoa huduma. Kutoa matokeo, yaani dhana nzima ni extractive in nature. Anaposhindwa au kukataa kutoa, thamani yake huanza kuhojiwa.
Wanawake muanze kumuangalia mwanaume kama binadamu na siyo mgodi wa rasilimali unaopaswa kutoa kila wakati. Ana ndoto. Ana hofu. Ana maumivu. Ana uchovu. Ana mahitaji ya kuthaminiwa kama ilivyo kwa mtu mwingine yeyote.
Jamii inayotaka maendeleo haiwezi kuendelea kufurahia matunda ya kazi za wanaume huku ikipuuza utu wao. Heshima kwa mwanaume siyo zawadi, ni deni ambalo historia tayari imethibitisha.
Pole kwa mfiwa.
Wengi wenu mmetetea Daktari. Ila siku ukiona kale kasanduku(geneza) kako nyumbani kwako utakuja kufuta hii post. Ya kumtete Daktari utu kwanza mengine baadae.
Maeneo mengi watu huvunja utaratibu kuokoa maisha ya Binadamu mwenzake.
Jana tumezika mtoto wa rafikiangu kwa uzembe na roho ya kikatili ya madaktari.
Mashakaji mtoto wake wa miezi 7 kazidiwa usiku wa saa tisa akakurupuka kwenda hosp fulani akafika akamosa huduma kwa udogo wao, wakampa transfer.
Huko kwenye transfer wakapokelewa mtoto akapata huduma ya kwanza ingawa mtot alikua ameshalegea viungo vyote na anapumua kwa shida, madaktari wakataka pesa ili wamfanyie vipimo, mshkaji pale hakua na hela ambayo walitaka, akawaomba madaktar wamtibie kwanza madaktar wakakataa,..
Jamaa akajaribu kutafuta watu wa karibu kama kwenye sim wana pes wamtumie ila akagonga mwamba. Madaktari wakaendelea kuweka mkazo hatumfanyii vipimo kama hujalipa pesa
Mwisho wakawaambia kama hamna pesa mchukueni mtoto wenu. Jamaa akapanda boda akaenda kuchukua hela ile anarudi anapewa taarifa mtoto amefariki.
"Simulizi alionisimulia tulipokutana baada ya msiba"
Toyota Land Cruiser 76,79 series zinafanya vizur nimeona iki beba watu 10 na ipo sawa kabisa.
Ijapokuwa ni converted ila ni wakati sasa serikali kutazama uku kwa ukubwa zaidi maana zime fika 400km, Umbali zinapo weza kwenda.
Jirani zetu pia wameenza kununua uku.
@brighton_tz12 Gari zina horsepower hadi 500 kwanini zisiwe na nguvu? Kwa experience yangu ya kuendesha na kupanda both boda na gari za umeme, nyingi zina nguvu kuliko average traditional fuel cars.
BYD wametengeneza Flash Charging Station inayoweza kuchaji gari ya umeme na betri ikajaa kwa muda wa dakika 10. Muda karibu sawa na ambao mtu ataingia kujaza tenki kwenye kituo cha mafuta.
Kwa wastani, umeme wa TZS 15,000-20,000 unaweza kuchaji gari na ukatembea hadi kilomita 500 hivi. Kwa wengi, huu ni zaidi ya umbali wa kwenda na kurudi makazini kwa wiki mbili.
Serikali ione umuhimu wa kuwa na zero tax policy kwenye brand new imported EVs itasaidia sana kwenye adoption.
Hebu tuwaze nje ya BOX!!🤔
What if, ni mchezo wanautengeneza ili kumfanya VICEnt apate sympathy kwa wapiga kura….kisha ndio iwe next kete yao 2030!!🤔
Yes, coz sio mara yao ya kwanza kuyafanya hayo!! Wameshaitumia sana hii strategy huko nyuma na wakafanikiwa!!
Nikurudishe 2017
TAL alipopigwa pyuu pyuu 🔫
wengi walimchukia Banza kwa lile
tukio!!
Hisia zangu zinanambia #MasterMind aliitumia hii opportunity akamtuma Kizim-Job akampe pole TAL!!
sidhani kama ile move ya kwenda kumuona na kumpa pole TAL ilikuwa bahati mbaya ile, huwa always nahisi it was strategically planned na pengine mtoa pole hakujua kama ni mchoro anachorewa, yeye aliamini anatenda utu….but kuna watu behind the scene walipush ile move!!
Ili kumjengea sympathy,imani na upendo kwa raia, kwamba kati ya wanachama waandamizi wooote, ni huyu pekee kajitoa kwenda kumuona mgonjwa.
Basi huyu ana upendo sana!
Basi huyu atatufaa kutuongoza!
Huyu sio katili kama Banza!!
Kumbe MasterMind anasema huyu
Ni next kete yetu tutamtumia siku za mbeleni, tayari anauzika kwa wapiga kura!!
Haya miaka imepita….
vipi leo bado sio katili!!?🤔
Sasa nashangaa sana kuwaona baadhi ya wanafamilia wakiingia kwenye huu mtego tena mapema sana, bila hata kuwaza nje ya box!!
Tena wengine ni watu senior na very influential kwenye siasa na harakati!!
Wanaanza kumpongeza VICEnt kuona huruma, kumfanyia PR na kumu-endorse kwa raia….Pasi kujua kufanya hivyo ni kurudia makosa yaleyale ya kujikuna Nyashi kisha unakata kucha kwa meno!!
Ni kweli VICEnt anaonekana kuwa mtu poa currently, lakini shida ni familia ileile!!
Iko hivii…..hawa jamaa ni very smart na calculated!
Wanajua fika now wako kwenye nyakati ngumu sana kujiuza kwa wananchi kutokana na waliyoyafanya….Nyama ngumu kwelikweli!!
Wana changamoto kubwa
ya who is next? ambaye wata msimamisha na raia wakampokea na kumkubali bila makwasukwasu yoyote!!
Hapo sasa kwenye Who is next, ndiyo nahisi #The_Master_Mind huwa anakujaga na mchoro wa kutafuta exit!!
Kwamba watengeneze beef/vita/misunderstandings wao kwa wao ndani kwa ndani, then habari zitoke nje kwa raia….kuwa kuna mpasuko ndani ya chama!!
Then ile kete wanayoitaka wao ndio ionekane kwa raia kama ndiyo inaonewa ndani ya chama au kama ndiyo shujaa inasimama na raia!!
Na raia tulivyo na mtindio wa ubongo tunajaa kwenye huo mfumo!
Tena wakati mwingine #MasterMind anaweza akachezesha huu mchoro bila hata kuwashirikisha wahusika wakuu, yaani main characters wakawa wanapasuana kiukweli, kumbe kuna mtu behind the scene anawachezesha filamu!!
Anagusanisha nyaya, anapigisha cheche bila wao kujua….
KUWENI NA MISIMAMO
KUWENI NA KUMBUKUMBU
WAZENI NJE YA BOX
MSIJAE KIZEMBE
Nways labda niko wrong na hisia zangu!!
Tatizo naangalia sana movies za watu waBad wanavyoRemote Gavoo na Viongozi!!
zinaniharibu sana!!
Kweli Mungu ni Mungu wa Yatima.
Leo nimepigiwa simu nimeitiwa kazi sehemu nitakuwa nalipwa 550,000/-
Mimi kwangu ni hela nyingi sana kama kijana wa miaka 22. 🙏
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
Watu wengi uku, wame kuwa na mihemko kuhusu ,kikatuni, na hata wakati mwingine matusi kwake na kwa familia yake.
It's like jumba bovu limeangushwa kwake, its like yeye ndio ali toa oder ya shoot to kill.
Hatupangiani sila ila ni wakati sasa Denge kutoa paru kuclear hali ya hewa
Baada ya Lile chapisho alirudi tena alitoa chapisho lake fupi kuelezea dhamira yake ila wengi wenu amkutaka kumpa nafasi. Zaidi mlikuwa na mihemko na watesi wakapitia huo mpenyo wenu,mlio kataa kutumia akili mka endekeza hisia mpaka leo ni fimbo ya kutuchapa.
Leo hii @rollymsouth anasema eti anatumia busara kukaa kimya kwa sababu anaogopa kuzua mijadala mingine.
Bwana @rollymsouth anasema anafanya hivyo ili kupisha watu wapone.
Nadhani muda mwingine unaweza ukadhani unajitetea, kumbe unajilipua mwenyewe!
Hivi kati ya kipindi kile na hiki, ni kipindi gani watu walikuwa na maumivu zaidi?
Je, hujaona kwamba kauli zako kuhusu watu kulipwa zimetumiwa na kina Samia?
Au pia hujaiona ile documentary ya yule mpopo?
Ungekaa kimya kipindi kile siyo hiki, kama una mjadala, weka mezani mzee acha kujinyemelea.