Uzi wa hovyo👇
First time na get uroda..
MCHIZI ile naingia form one nikakutana na demu nilie Soma nae la kwanza mpaka la nne huko Kenya yeye akaamishwa tukaja kukutana hiyo Tanzania form one kutokana na kufamiana hapo awali mtoto Basi akajenda mazoea na Mimi comrade
Zet je salaris aan het werk met Dagelijks Sparen. Open een Revolut-rekening en verdien tot 2,5% per jaar, dagelijks uitbetaald�Zet je salaris aan het werk met Dagelijks Sparen. Open een Revolut-rekening en verdien tot 2,5% per jaar, dagelijks uitbetaald�Zet je salaris aan het werk met Dagelijks Sparen. Open een Revolut-rekening en verdien tot 2,5% per jaar, dagelijks uitbetaald📱
@Aduiwayanga Angekuwa ametoa kwenye account yake ya hela za mshahara ndo ilitakiwa waandike samia katoa hela, ila hizo hela ni za nchi ta tanzania na ni kodi mnazolipa kila siku. Kwanini mnapenda kumpamba kwa kitu ambacho sio kweli?
@mbundason@HabariDigital_@FIFAcom@CAF_Online@CAFCLCC_fr Kwa akili zako unavoona kuna club yakipumbavu dunia hii inaweza kutumia sindano kwa wachezaji alafu waziache humo chumban, hata ingekuwa timu ya mtaani tu haiwez lutokea ikawa hivyo
@Hamisi_Mbaade @Hamisi_Mbaade kwan kaka ili viewers wasomeke ni ile kuiona tu kwenye tubefield au lazma uangalie video yaan kuiplay ndo viewers wasomeke, ila @harmonize_tz alituokota sana aise
@Chrispin_Festo@goligani Kaka hamna daktari aliesoma MUHAS anaitwa CHRISTOPHER MATHIAS na hii nchi unajua kuna madaktari wangap wanaoitwa CHRISTOPHER acha kutupanga mzee, @goligani kashasema wewe ni UCHWARA💯