At University of Nevada,Reno.
When my coworkers say โAgribusiness is hardโ, I say, โ That is fantastic. That feeling of 'hard' is the feeling of your brain developing, strengthening and growingโ KIJANA AMKA KUMEKUCHA.
Mungu ni Mwema, #Tanzania imeshinda๐ช๐ฝ
Jumla ya Kura zilizopigwa ni Kura 46, ili ushinde ni Kura 24 na Prof Janabi amepata Kura 32 ๐๐ฝ
Naendelea kunyenyekea heshima kubwa niliyopewa ya kuwa sehemu ya historia hii #TimuYaKampeniTanzania ๐
#Janabi4WHOAfro@WHOAFRO
๐จ| TAARIFA MPYA: STEPHANE AZIZ KI
Klabu ya Wydad AC ya Morocco ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki.
Thread:๐
Jana pale Lusaka, Zambia, imefanyika harusi ya kukata na shoka kati ya Jimmy Karabassis na Kadi.
Kadi ni binti wa mfanyabiashara maarufu mwenye asili ya Senegal anayeishi Zambia, Abdoulaye Ndiaye, anayefahamika sana kwa jina la Papa Gounass.
Thread:๐