Mwenyekiti Wa Empowering Community Organization Ndugu Enock Tweve anena juu kuhusu Ruzuku.
Aishukuru Serikali kugusa maisha ya wakulima na ahueni katika bei ya mafuta kwa kuweka ruzuku
https://t.co/1vlAICszA5
Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (Department ya Orthopedic) wamepanga kufanya kambi kubwa ya upasuaji wa mifupa kuweka nyonga au magoti bandia bure-kujumuisha na vifaa tiba mwezi wa nane kwa kushirikiana na madaktari kutoka Marekani
Piga 0754918595
Je, Unahitaji kujiunga Elimu ya Juu na kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu yaani HESLB. Tweve Stationary Tupo tayari kukuhudumia popote Ulipo unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana nasi ili tukupe huduma Bora na kwa gharama nafuu.
TUnapatikana TAZARA Opposite na Bodi ya mikopo
@Hakingowi Chongolo ni kiongozi wa mfano
Asiye jikweza, Wala sio maigizo ndivyo alivyo mno toa kauli za kubeza mbona tunawajua wapanua vidole badala ya fikra.
@Investm1Hezydom@mshambuliaji Kwani uongo?
Uliwahi ona wp mchaga anacheza na fulsa?
Itoshe tu kusema tunahitaji viongozi waadilifu ambao wanatanguliza maslai ya Taifa mbele pasipo kujali makabila yao 😃😃
Anaechukizwa na kifo cha Simba maarufu kutangazwa BBC ndie huyo huyo yuko mstari wa mbele kwenye kuzika umbwa.
Wanazengo hii ni aina gani ya kukosa ubongo yaani huyu mtu ana kosa ubongo gani kati ya ile 3?🚶🚶🤭
Leo nilibahatika kuitembele familia ya Mwanafunzi Alexander Tillya ambae ni mnufaika wa SAMIA SCHOLARSHIP iliyotolewa kwa udhamini wa Mheshimiwa Raisi Dr @SuluhuSamia anaesoma Shahada ya kwanza ya Udaktari Chuo Kikuu Cha Muhimbili inayoishi Mkoani Manyara Wilaya ya Kiteto